Diamond Platnumz hii sasa sifa! Angalieni hi Schedule ya show zake!!

Diamond Platnumz hii sasa sifa! Angalieni hi Schedule ya show zake!!

Wee jamaa bhana kwani uwezi ku comment bila kutukana? mim nimeleta ya mnyama simba Diamond kwanini na wew usilete ya hao wizy kid?
Kama unamuaminia kwnn unasem ana sifa,,,, niaj ww stuka!!!!!!
 
14606267_1222450161110129_5338452912698848315_n.jpg

Duh, kama ni kweli huyu dogo anajishughulisha, na ni wa kimataifa.....hongera zake kama ni kweli...
 
Hongera yake,si kils akifanya anaingiza pesa?

Nikiandika chochote hapa,au kumtusi kwa mfano,tusi langu halimfanyi asipate hio chance bora niache tu
 
Back
Top Bottom