ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,676
Ukweli Ni kuwa huu wimbo umevuja.....kuna muhuni kauvujisha!!! Na nilisha ziona Dalili za wimbo huu kuvuja toka walipo uimba kwa Mara Ya kwanza Mwanza...hadi clip za wakati wanashoot video!
Kama kweli wewe unajua muziki utagundua kuwa huu wimbo sio ule official! Kwa kifupi ni kama ule mchafuuu.... Kama ni movie hasi ni ile camera recording!
Pili unapomaliza sekunde ya 38 utagundua kuwa huu wimbo unaendelea!!! Huu sio mbaya ni bonge moja LA Audio lakini niseme Diamond anabahati moja kubwa sanaa ambayo wengi wetu hatujaijua mpaka Leo! Kama umemfuatilia Diamond kila wimbo anao utoa basi wiki ya kwanza huwa ni mbaya kwa kila msikilizaji..lakini kadri siku zinavoenda ndio watu huona aanhaaa
Sasa wimbo umevuja,kumbuka Nasema Nawe ilivujaaa lakini ilivyo kuja kutoka Official kila mtu alibaki anashangaaa sanaaaaaa na mwisho was siku ikampa tuzo na hadi Leo watu bado wanaisikiliza!!!
Siwezi kuijudge hii ngoma kwa sasa Ila namsubiri diamond aende Marekani wakafanye tour arudi mwakani itakavyo toka official tutakutana tena hapaaa
Uzuri wake diamond sio mbishi anachukua maoni yenu na kuyafanyia kazi!!
Ngoma ngapi zimevuja na zikafanya vizuri.....HII SIO OFFICIAL!!
Tusubiri Amber Rose aje Bongo then mwakani hii ngoma tutasema