Diamond Platnumz ft Ne-Yo-Marry You

Diamond Platnumz ft Ne-Yo-Marry You

Ngoma kali sana vijana km mna makundi acheni ushabiki maandaz, dogo platnam yuko vizuri..big up
 
Asee chibu anajitihada lakin kwa stail hii tutachoka mistar lain na hivo na na na mara la la la .. Mara ya ya ya ya... Baada ya mistar ya neyo hutaman endelea sikilia.. Bt big step.
 
Nyimbo mbovu......hata sijaisikiliza mpaka mwishoooo
 
kiukweli nimeshinda kuimaliza nyimbo mbayaaaaa kuliko kama zilee za alikiba
 
kiukweli nimeshinda kuimaliza nyimbo mbayaaaaa kuliko kama zilee za alikiba
 
Uyu diamond naye ajifunze uvumilivu yani akisikia tu mwenzio kiba anasumbua hewa basi anajitahidi kuachia wimbo

Ujumbe kwa washauri wake sasa hivi watu washajua diamond haina haja ya kila baada ya miezi miwili atoe wimbo sasa ni mda wa kupiga pesa watanzania wengi wana hamu ya kumuona diamond kwanini mnashindwa andaa tz tour woga wenu nini ebu fanyeni wasafi mna wasanii wanne wote wanajulikana hivi kweli mnashindwa andaa tour tz tena kwa kingilio kidogo tu mtapiga pesa zaidi ya fiesta

Yani dai, rich, Rey, harmo, plus wadau wenu dully, chid, sheta, ney wa mitego, nk mbona pesa hiyo hapo sema mvua zimeanza ngoja ziishe
 
Nahisi haijakamilka au warealise low quality audio kucheck attention.
BTW km kuna vtu vya kuongezea katk song then itakua nyimbo nzuri
 
nyimbo iyo wameirelease ulaya tuu kwasbbu ya tour ya neyo na domo.....lkn bongo wala africa hawakuirelease sema kuna wadau washaifanyia manuva ndmn tunaickia bongo lkn haijawa releases officially.....dah ila sio nzr sn ya kawaida
 
Nyimbo haijawa kama nilivo tegemea, ila si mbaya pia
It is just a gud song
 
Back
Top Bottom