Diamond Platnumz azidiss Tuzo za Kili

Diamond Platnumz azidiss Tuzo za Kili

el nino

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
4,712
Reaction score
5,072
Well Nimekuwa nikipokea maswali na Comment nyingi eti kwanini sitangazi vipengele vyangu vya Tunzo watu wanipigie kura...tafadhali naomba mniskilize kwa umakini:

Ikiwa MOE MUSIC hakuonekana ni Mmoja ya Mwanamuziki bora Chipukizi.. NDAGUSHIMA ya Ommy Dimpoz haikuonekana inafaa kugombe kama Moja ya Video bora.. Video ya Rich Mavocal - PACHA WANGU haikuonekana inafaa kugombea kama moja ya video bora...

YAMOTO BAND licha ya kuvuma na kujaza kila show ya kila pembe ya Tanzania ila Mwisho wa Siku wameambulia Category Mbili tu Unafkiri mimi nina haja gani ya Kuomba kura???? Hivi kuna Nyimbo zimependwa na kuvuma kama NITAJUTA ama NISEME ya YAMOTO BAND Tanzania?? Eti mwisho wa siku, watoto wa watu licha ya Juhudi zote eti hazikustahili wameambulia Category Mbili tu...

Hivi kweli Tunakuza Muziki wetu au Tunaua??? Mimi Kuwa na Categories 10 na Kuongoza kwa Vipengele vingi hakunifanyi eti nifurahie Wengine wanapoumizwa...kwani Kwangu mimi sifanyi mziki ili Nifaidike bali nafanya ili wasanii na Taifa langu pamoja na Tasnia yangu izidi kufika mbali na tuheshimike...

I have been to this Industry zaidi ya Miaka Mitano (5 ) so panapo NAMNA Napajuaga mapema na Ndiomaana sitaki kuwapotezesha watu pesa zao wanipigie kura halaf ziende na maji... Wakiona kuna mahala nilistahili watatoa wakiona sijastahili ni haki yangu kutopewa...Nilishawai hata kutopewa tunzo kabisa ila Mpaka leo sijawai shuka na Sitokaa Nishuke labda Waniue!...

Napost PART 2

Chanzo:
Diamond Platinumz||Facebook

Ni kweli kabisa anachokisema Platinumz,hizi tuzo zimefulia sana
 
Ni tuzo za kill au tuzo za watu????? content na heading vya nchanganya.
 
Akwende huko kaogopa aibuu maana hatashinda....
Alitaka kiba asiwepo sasa mfalme yupo na ndo karudia kiti chake... heheheiyaaaaaaa Domo nawa na mafuta tayari kwa kula mafenes eeeee
 
Mafanikio yakikosa mipango bora yanaweza kukurudisha kwenye kufeli,ni wakati muafaka wa walio karibu na jamaa wamsihi aache kupaniki maana hao wanataka apaniki ili avurunde akumbuke ni base ya mashabiki wa ndani ni muhimu kuliko anavyodhania sioni sababu ya kusema hawezi kushuka ajiulize kaka zake wako wapi na music cycle iko wazi hauwezi kua juu milele ni bora akomae ashuke muda ukifika kwa sababu sahihi sio hili analolizua akumbuke last time fiesta ile zomea ilivyompa wakati mgumu kwa muda,kama ameweza kua na mameneja wawili,wapiga picha wake,Dj wake,mlinzi wake,dancers wake ni muda wa kutafuta PRO wake awe ana dili na ishu za media maana recently dogo page yake imekua ya mipasho mara "kula ndimu" sijui beseni utapike,sisimizi kameza nini ilimradi vurugu tupu utadhani hajaenda kimataifa maana anafanana nao hawa waliokosa nafasi za kujitangaza nje.
 
Akwende huko kaogopa aibuu maana hatashinda....
Alitaka kiba asiwepo sasa mfalme yupo na ndo karudia kiti chake... heheheiyaaaaaaa Domo nawa na mafuta tayari kwa kula mafenes eeeee

Nimekusoma kwenye uzi mmoja jana kuwa wewe ni ndugu yake Kiba na uliandika ulikuwa mmojab wa waliokumbwa na majambazi. Pole

Ila kwanini unamchukia sana Diamond maana posts zako ni za makali humu ndani kana vile aangike kesho na now unefurahia alichoandika.

Je ungefanya kama Sakafu kujatibu kumpaisha kiba ai ungeona furaha na chuki ingepungua kwa Diamond kwani aliwafanya nini D mtoto wa Tandale?

Lini ulimsikia Chibu akimsema kaka yako live re kuwa king? Labda sikusikia
 
Asante mzurimie tangu nimekujua leo ndo umeni quote kistaarabu na mimi nakujibu kistaarabu.......
D mimi simchukii ata kidogo kimziki yupo poa na namkubali sana ila ni mnafiki apo tuu ndo ninaposhindwana nae......
Pili ata kama msanii anafanya vizuri sio lazima kila mtu amfagilie ata akikosea asiambiwe.....
Tatu kiba mimi namkubali zaidi ya daimond so kwenye campen inayomuhusu kiba lazma niwe mstari wa mbele......
Afu mzurimie unajua wazi katika kupaiza kitu lazma kitu kimoja ukishushe na ndo maana unaona ivyo.......
Alafu pia ukitaka kujua kwa nini simpend dai jiulize wew kwa nini humpendi Wema?
Wew siku zote unavutia kwa dai ina maana kiba hafanyi vizuri au? Mbona hujawahi kumsifia ata kimoja? Jibu ni kwamba ni kwa sababu unampenda zaidi dai na ndo ilivyo kwangu.....
Alafu mamie inaonyesha unaumia sana dai kusemwa ila vumilia lazma asemwe na kiba lazma asemwe adi mwisho wa siku kieleweke........
 
Last edited by a moderator:
Pamoja na dai kutofanya campaign yeyote ila atanyakua tunzo si chini ya 5 ikiwemo ya Mwanamuziki bora wa kiume
 
Jinsi ya kumpigia kura Diamond kwenye tuzo za KTMA katika vipengele alivyowekwa andika GA1, FB2, DA3, BB4, AJ3 na AH2 tuma kwenda namba 15415. Kupiga kura kwa watsap tuma hizo code kwenda namba 0686528813. Pia online kupitia www.ktma.com diamondplatnumz. mashabiki ndio tushaamua hivooo dangote anastahili kuzichukua zote alizokuwa nominated.......
 
Mmeshaamua na nani? EBu peleka ujinga wako uko
 
Last edited by a moderator:
Jinsi ya kumpigia kura Diamond kwenye tuzo za KTMA katika vipengele alivyowekwa andika GA1, FB2, DA3, BB4, AJ3 na AH2 tuma kwenda namba 15415. Kupiga kura kwa watsap tuma hizo code kwenda namba 0686528813. Pia online kupitia www.ktma.com diamondplatnumz. mashabiki ndio tushaamua hivooo dangote anastahili kuzichukua zote alizokuwa nominated.......

Atazipata ndo tushaaamua sasa
 
Last edited by a moderator:
Diamond ndio nani?
Ni msanii aliyefikia kuwa NEMBO YA TAIFA, lakini pia ndio aliyekafanya kale kajamaa kalikoibiwa tsh. milion 732 na majambawazi 162 kasipate shows za mihela na hata watu wa matangazo hawamuoni
 
Ni msanii aliyefikia kuwa NEMBO YA TAIFA, lakini pia ndio aliyekafanya kale kajamaa kalikoibiwa tsh. milion 732 na majambawazi 162 kasipate shows za mihela na hata watu wa matangazo hawamuoni

Nembo ya Taifa kwani ye nyerere au? Kwani sura yake ipo kwenye noti au? Nembo ipi labda unayoizungumzia?
 
Ni msanii aliyefikia kuwa NEMBO YA TAIFA, lakini pia ndio aliyekafanya kale kajamaa kalikoibiwa tsh. milion 732 na majambawazi 162 kasipate shows za mihela na hata watu wa matangazo hawamuoni

Teh teh teh jamani
 
Ni msanii aliyefikia kuwa NEMBO YA TAIFA, lakini pia ndio aliyekafanya kale kajamaa kalikoibiwa tsh. milion 732 na majambawazi 162 kasipate shows za mihela na hata watu wa matangazo hawamuoni

Million 732!!?
 
Leo ndio kaona hili ilaalipokua anapewa promo hakuliona
 
Nembo ya Taifa kwani ye nyerere au? Kwani sura yake ipo kwenye noti au? Nembo ipi labda unayoizungumzia?

Kwani ili uwe nembo ya taifa mpaka uwe nyerere?? Kweli kabisa ndo umefikiria had mwisho hapa?
 
Back
Top Bottom