warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,213
- 18,466
Kwani ili uwe nembo ya taifa mpaka uwe nyerere?? Kweli kabisa ndo umefikiria had mwisho hapa?
Ndio nikuulize wewe au mie ndio sijui maana ya nembo ya taifa?
Kwani ili uwe nembo ya taifa mpaka uwe nyerere?? Kweli kabisa ndo umefikiria had mwisho hapa?
Anayepumuaga kwny kisogo chako
Kiba kwani ana lipi hasa linakufanya utembee kifua mbele.mnabeba gunia la misumari,zama zake alizichezea mnatumia nguvu nyingi kumrudisha.kiba kwa sasa hamfikii hata dimpoz labda shettaAkwende huko kaogopa aibuu maana hatashinda....
Alitaka kiba asiwepo sasa mfalme yupo na ndo karudia kiti chake... heheheiyaaaaaaa Domo nawa na mafuta tayari kwa kula mafenes eeeee
Mafanikio yakikosa mipango bora yanaweza kukurudisha kwenye kufeli,ni wakati muafaka wa walio karibu na jamaa wamsihi aache kupaniki maana hao wanataka apaniki ili avurunde akumbuke ni base ya mashabiki wa ndani ni muhimu kuliko anavyodhania sioni sababu ya kusema hawezi kushuka ajiulize kaka zake wako wapi na music cycle iko wazi hauwezi kua juu milele ni bora akomae ashuke muda ukifika kwa sababu sahihi sio hili analolizua akumbuke last time fiesta ile zomea ilivyompa wakati mgumu kwa muda,kama ameweza kua na mameneja wawili,wapiga picha wake,Dj wake,mlinzi wake,dancers wake ni muda wa kutafuta PRO wake awe ana dili na ishu za media maana recently dogo page yake imekua ya mipasho mara "kula ndimu" sijui beseni utapike,sisimizi kameza nini ilimradi vurugu tupu utadhani hajaenda kimataifa maana anafanana nao hawa waliokosa nafasi za kujitangaza nje.
Kiba kwani ana lipi hasa linakufanya utembee kifua mbele.mnabeba gunia la misumari,zama zake alizichezea mnatumia nguvu nyingi kumrudisha.kiba kwa sasa hamfikii hata dimpoz labda shetta
Nimemuongezea ili vijamaa vyake vipate nafuu mana nikisema ukweli kuwa aliibiwa sh.325,200 watasema ninachuki naeMillion 732!!?
Nimemuongezea ili vijamaa vyake vipate nafuu mana nikisema ukweli kuwa aliibiwa sh.325,200 watasema ninachuki nae
kinara wa nini,onesha mafanikio tumpime.nyimbo zake mwisho mombasa,Diamond ukitembea africa nzima nyimbo zake zinapigwa,kiba ni sawa na mr nice tuUkwel siku zote unauma..mnatokwa na mapoooovuuuu ama kweli nimeamini kiba kiboko yenu....
Penda usipende kiba ndo kinara hahahahahaaaaa le superster.
kinara wa nini,onesha mafanikio tumpime.nyimbo zake mwisho mombasa,Diamond ukitembea africa nzima nyimbo zake zinapigwa,kiba ni sawa na mr nice tu
hapo ndipo upeo wako na team kiba ulipoishia.kumshabikia kiba ni sawa na kukumbatia upepo habebeki.mtabaki kuzomea majukwaani na kurusha mikojoThinking capacity yako ni ndogo sana sasa siwezi kubishana na wew
hapo ndipo upeo wako na team kiba ulipoishia.kumshabikia kiba ni sawa na kukumbatia upepo habebeki.mtabaki kuzomea majukwaani na kurusha mikojo
Sote tunajua kiba ndo kinara wa kuvaa moka.. Kuna mtu anabisha
Na kuudhuria shoo zake za vijijini... Huko oryampiti
Jinsi ya kumpigia kura Diamond kwenye tuzo za KTMA katika vipengele alivyowekwa andika GA1, FB2, DA3, BB4, AJ3 na AH2 tuma kwenda namba 15415. Kupiga kura kwa watsap tuma hizo code kwenda namba 0686528813. Pia online kupitia www.ktma.com diamondplatnumz. mashabiki ndio tushaamua hivooo dangote anastahili kuzichukua zote alizokuwa nominated.......