Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,257
- 34,547
Nini hichi?
Waambie moderator wakusaidie kufuta kama vipi.
Hata mimi nilijua huyu ni warumi kumbe hola!!Walokua wanadai wewe ndiye Warumi sasa wataacha.
Enh Hance na Warumi?Walokua wanadai wewe ndiye Warumi sasa wataacha.
Mkwe ukoje?Nini hichi?
Si umeona juu hapo kuna memba kakiri. Wengi walikua wakisema id ya kiume ndiyo hii na ya kike ndiyo warumiEnh Hance na Warumi?
Mbona tu wana character tofauti za uandishi?
Nao hawajui kufananisha
Duh.Si umeona juu hapo kuna memba kakiri. Wengi walikua wakisema id ya kiume ndiyo hii na ya kike ndiyo warumi
Ni wewe ninayekufahamu? Masasi wazima?Enh Hance na Warumi?
Mbona tu wana character tofauti za uandishi?
Nao hawajui kufananisha
Yametimia.Msanii Diamond Platnumz aliweka wazi kuwa alianza kushabikia mpira na kuishabikia timu ya Simba mara baada ya kupata hamasa kutoka kwa swahiba wake Haji Manara.
Kama hiyo haitoshi ,Diamond alilaani sana kipindi ambacho mabosi wa Simba walipoanza kumtolea maneno machafu Haji Manara na alipoonesha yupo upande wa Haji viongozi wa Simba walimfungia vioo na kumblock kabisa Diamond huko kwenye kurasa zao za Instagram.
Sasa je, Diamond ataendelea kuishabikia Simba au atamfuata swahiba wake Haji kuja timu ya Wananchi Dar Es Salaam Young Africans??
Bila shaka Diamond akihamia Yanga, yule chawa Dulla Makabila bila shaka na yeye atarudi Yanga maana alihama Yanga kwenda Simba kumfuata Diamond Platnumz.