Love you WordsworthMihadarati
Ni noma sana aiseeMihadarati
Mangi acha porojoAtuambie ana urefu gani na kilo ngapi ili tumtafutie Body Mass Index, BMI.
Na anatakiwa ajue tofauti ya kukonda na kuwa mwembamba.
Inashangaza mtu kama Diamond kuishangaa afya yake badala ya kutumia fedha alizonazo kupata ushauri wa kiafya.
Bora ukose mali upate akili maana ikiwa na hizo mali kama akili huna, basi ni bure!
Mangi acha porojo