Diamond Platnumz anunua ndinga mpya kama ya Ronaldo

Naona hujapendezwa na kitendo cha yeye kununua gari
Gari yenyewe hummer tu,wala sio ya ajabu saaana ijapokuwa mimi sina uwezo wa kununua!!

Alivyonunua Hummer haina maana ndio Pesa zake zimeisha
Nimependezwa sana tu kwa yeye kununua kitu cha ndoto yake.
Nina hakika mashabiki wake watafurahi sana tena sana tu kama we we unavyofurahi.
 
Magari south ni cheeps sana,makampuni ni mengi yanatafuta wanuniaji hamna
 
Magari south ni cheeps sana,makampuni ni mengi yanatafuta wanuniaji hamna
 
Magari south ni cheeps sana,makampuni ni mengi yanatafuta wanuniaji hamna
 
Mi ninayo mawili kama hayo yamepaki ,ila nikiwa Kwenye trip za kitown natumia vitz yangu moja hivi #A. Inakoroma hatari. Anyway Mi sipendagi showoff
 
Sasa we unaesema kiba alishakuwa nalo ashow off kaficha ukute Hana tungejua tu.Nyumba kaficha kila kitu kuficha tu .mwache chibu aosheee.
 
Aonyeshe makaratasi, yaani vyeti vya hiyo gari. Coz hata mm naweza kupiga picha kwny gari ya rafiki yangu na nikaandika "just decided to get this"
 
Naona unahangaika sana,ngoja nikusaidie.
Diamond ana nyumba nyingi sana alizopangisha,Dar na nje ya Dar..nyingi saaana,na huu ndio uwekezaji mkubwa alonao,yule dogo ananyumba nyingi saaaana!!!

Diamond ana Mashamba makubwa sanaaa ya mananasi na matikiti huko Pwani.
Ana shamba kubwa la kufugia kuku wa kisasa,kienyeji huko Kibaha!!kuku wale wamewekwa kwenye mabanda makubwaa zaidi ya ishirini!!

Diamond ana Hotel nyingi Morogoro,Dar,Mtwara na sehemu nyingine kwa uchache,,ila Morogoro amejitahidi kuwekeza sana.

Ana mashamba makubwa ya nyanya huko Ngarenanyuki anakodishwa halafu analima

Hayo ni machache niyajuayo mimi,mengi zaidi anajua yeye mwenyewe na Familia yake!!Diamond ni mfanyabiashara kuliko unavyomfikiria
...kawachekeche mandezi wenzio!
 
Royce Drophead sijui Royce Ghost lile tuliambiwa lipo kwenye meli linakuja la Diamond alijafika jamani ??kawaida meli imechelewa sana wiki 4 au 6 . Wacha tusubiri na hili la Hammer . Naamini wakati siku zote ndio jibu la uongo.
 
Badala ya kuwekeza kwenye elimu anaanza mashindano.
Usiwe kama mwehu unataka diamond akasomee nini uchumi au udaktari,ualimu au uhasibu?..mkuu sikia now diamond haitaji elimu hiyo unayotaka wewe zaidi ya kuajiri watu wenye taaluma ambayo yeye hana sanasana labda asome muziki hapo ndo nitakuelewa maana ndo kada yake
 
Back
Top Bottom