Diamond Platnumz anunua ndinga mpya kama ya Ronaldo

Mbona hayafanani? Au ulikosea title?

Cristiano-Ronaldo-Cars-audi-r8-2014.jpg

Ronaldo anamiliki magari mengi sana, kila gari kali anayo.
 
Much respect Simba.
You deserve it, the great hustler.
Wanajenga majungu unajenga…
 
a8dd9c28b760e3c9a5335de785eee04b.jpg

Yy kasema kachukua hio kwa ajil ya trip yke ya S.A, ninavyojua unaweza uka kodisha gar ya kifahar kwa ajir ya matanuz somewhere, tena amesama kbsa n south sio bongo
Kwa nn mawazo yako yamekupeka kukodisha it means hana uwezo wa kununua gari la ivo
 
sijasema hana uwezo, ila hajasema km kanunua na hata sula la kukodosha nimesema "unaweza" means sina uhakika, kwaio kusema kakodisha moja kwa moja au kanunua moja kwa moja yote sio sahh mana yy hajasema hivyo
 
Naona unahangaika sana,ngoja nikusaidie.
Diamond ana nyumba nyingi sana alizopangisha,Dar na nje ya Dar..nyingi saaana,na huu ndio uwekezaji mkubwa alonao,yule dogo ananyumba nyingi saaaana!!!

Diamond ana Mashamba makubwa sanaaa ya mananasi na matikiti huko Pwani.
Ana shamba kubwa la kufugia kuku wa kisasa,kienyeji huko Kibaha!!kuku wale wamewekwa kwenye mabanda makubwaa zaidi ya ishirini!!

Diamond ana Hotel nyingi Morogoro,Dar,Mtwara na sehemu nyingine kwa uchache,,ila Morogoro amejitahidi kuwekeza sana.

Ana mashamba makubwa ya nyanya huko Ngarenanyuki anakodishwa halafu analima

Hayo ni machache niyajuayo mimi,mengi zaidi anajua yeye mwenyewe na Familia yake!!Diamond ni mfanyabiashara kuliko unavyomfikiria
 
ZamdaIssa sihangaiki hata kidogo,laiti kama kila MTU angeliweka kila kitu chake hadharani wengi tungelishangaa.
Tanzania bado changa inahitaji watu aina ya Diamond katika uwekezaji mkubwa has a katika viwanda,migodi n.k
Uwekezaji alioufanya ni mzuri sana,tumpe hongera zake.
Tu nashukuru kwa ta arifa.
 
Naona hujapendezwa na kitendo cha yeye kununua gari
Gari yenyewe hummer tu,wala sio ya ajabu saaana ijapokuwa mimi sina uwezo wa kununua!!

Alivyonunua Hummer haina maana ndio Pesa zake zimeisha
 
Naona unahangaika sana,ngoja nikusaidie.
Diamond ana nyumba nyingi sana alizopangisha,Dar na nje ya Dar..nyingi saaana,na huu ndio uwekezaji mkubwa alonao,yule dogo ananyumba nyingi saaaana!!!

Diamond ana Mashamba makubwa sanaaa ya mananasi na matikiti huko Pwani.
Ana shamba kubwa la kufugia kuku wa kisasa,kienyeji huko Kibaha!!kuku wale wamewekwa kwenye mabanda makubwaa zaidi ya ishirini!!

Diamond ana Hotel nyingi Morogoro,Dar,Mtwara na sehemu nyingine kwa uchache,,ila Morogoro amejitahidi kuwekeza sana.

Ana mashamba makubwa ya nyanya huko Ngarenanyuki anakodishwa halafu analima

Hayo ni machache niyajuayo mimi,mengi zaidi anajua yeye mwenyewe na Familia yake!!Diamond ni mfanyabiashara kuliko unavyomfikiria
He he he we jamaa ni muongo balaa ebu kakojoe ulale
 
Hivi kuna watu wanatumia Hummer bado tu?

Hili ukipark Upper West Side lazima watu wali spray paint.
 
Back
Top Bottom