Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,763
Wewe jinga tuuu,badala ya kupiga tv picha umepiga chumba kizima!![emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hilo kabati la tv naamini umri wako sio chini ya miaka 45
Tulia we kiuno, usilete ujuaji kumbe pungwani.Nan amekwambia TV n ya Diamond???? Mmilik no Jo kusaga jina Tu limetumika hapo
Jibu Kwa fact mkuu cyo matusTulia we kiuno, usilete ujuaji kumbe pungwani.
Acha roho mbaya dogo kila kitu anachomiliki Diamond mnasema sio cha kwake kuanzia perfume, karanga majumba mpaka watoto bado mnasema sio wa kwake mwishoni mtasema hata Diamond sio mwenyewe bali kuna mtu ila yy anamfanyia kaziNan amekwambia TV n ya Diamond???? Mmilik no Jo kusaga jina Tu limetumika hapo
Acha zarau dogo kwa hiyo kukaa kwa shemeji ni zambi nyinyi ndo mkijenga vibanda vyenu mabondeni mnaona maisha mmemaliza swine wwlengo la thread tuone sebure na cassette zakw.
sema nini utakuwa mhenga sana au upo kwa shemeji yako mhenga.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]lengo la thread tuone sebure na cassette zakw.
sema nini utakuwa mhenga sana au upo kwa shemeji yako mhenga.
Kwa nini?Kikundi kidogo cha wapumbavu wanaojiita mashabiki wa Ally kiba, wanamtia ujinga kiba.
Jamaa unauaMpaka Leo una deki ya mikanda ya VHF [emoji16][emoji16],kweli we muhenga
Mkuu, Kwani wapi kaandika kwamba TV ni ya Diamond ??Nan amekwambia TV n ya Diamond???? Mmilik no Jo kusaga jina Tu limetumika hapo
HahahahaJf bwana, mmeacha mada mko busy na mleta mada jamani!!
Haya team Kiba wakuje huku!
kabisa kabisaMkuu amini kuna watu washakujua kumbe fulani ndio unajiita Mavugo kule Jf[emoji1][emoji1]
Vipi tenaHahahaha
Mfyuuuu si umenifurahisha ulichoongeaVipi tena
HahahaMfyuuuu si umenifurahisha ulichoongea
Niligundua old is gold pale nilipoona ile floods kule marekani unaona mzungu anaokoa Chogo yake nchi 18 lakini njoo kwetu unataka flat nchi 48 yanini Fanya mengine kula ya Tabu wazungu mpaka Leo wanatumia chogo na tunawasifu hapo ndo unaona akili zetu kumkichwaOld is gold[emoji1] [emoji1]