Diamond Platinumz: Kwa nini nipo VEVO? Nasaha kwa wasanii

""Mimi ni mtz wa kwanza kufanya hiki,wa kwanza kununua hiki kule,wa kwanza kwenda nchi ile n.k!
Pamoja na mafanikio mengi ya diamond,huwa ana kitu Fulani cha"""'niwe wa kwanza,ili wengine iwe kama wameiga ama wamepita nyayo zake'"""
Kwa hili siyo wa kwanza kuwa [HASHTAG]#vevo[/HASHTAG] kwa tz lakini alivyoileta ama kuipresent ni kama yeye ni wa kwanza na watu wengi wataelewa hivyo,,!pamoja kama ameleta kama ushauri lakini bado haiondoi ile nia ya kuonesha upekee wa yeye kuwa [HASHTAG]#vevo[/HASHTAG]!
Ndio maana ameileta kama nasaha wakati ni issue ambayo kuna wasanii ambao wapo [HASHTAG]#vevo[/HASHTAG]
Na kwa kawaida ya watz itaonekana kama yeye ndio kafungua njia kwa wenzie kujiunga#vevo kupitia 'ushauri'wake.

Ukisoma kwa makini post yake anatuaminisha kuwa kuna watu wanatumia madalali kuingia @veVo ili kupata status mtaani!,tizama nia yake hapa,,''like msione Fulani na Fulani yupo vevo mkafikiria anafaidika kama mimi,yeye anataka status tuu,'''
OK,mbona hajatoa hizo njia za kujiunga @vevo bila kupitia dalali,ili kila MTU afaidike ,mbona vigezo hatujawekewa kwenye huo ushauri ama nasaha yake??(sidhani kama nia ilikuwa ninkutoa ushauri kwa wasanii wenzake,kama ndio ilikuwa nia yake basi imeembatana na jambo jingine,UPEKEE')
Mwisho wa post yake akaomba radhi kama atamkwaza yeyote,,,
(Hatakama kina fulani wako [HASHTAG]#vevo[/HASHTAG] jueni hafaidiki kama Mimi)
Nawaza kwa sauti,,kama [HASHTAG]#alikiba[/HASHTAG] hangeingia [HASHTAG]#vevo[/HASHTAG] hii post ama wa kuitwa ushauri haungetolewa!,maadam alikiba ameingia naye [HASHTAG]#vevo[/HASHTAG] basi lazima utofauti uwepo!tena wa kuonesha kuwa 'pamoja na kuwa ameingia [HASHTAG]#vevo[/HASHTAG] huenda katumia madalali,ama ni kutaka status ama ujiko'
Licha ya nia yake nzuri ya kuwashauri wengine lakini bado kuna jambo lingine alitaka kuwaaminisha watu.asante
mbona video za vanesa mdee kitambo huwa naziona na hiyo vevo, kwa nini kwa huyu ndio iwe kitu cha ajabu na iwe stori kama vile ni kitu kipya.
 
Ww nae na alikiba wako ww unafikiri unavowaza ww na wenzio wanawaza ivo domo hana tym na kiba ndo maana anafokasi na mambo yake....na unataka kutwambia kuwa tz n kiba na mond tu ndo wapo vevo, yeye katoa kama ushauri kwa wasanii wenzio lkn kwa kuwa ww n hater basi una ona kama kajisifu watanzania bhana....by the way who is kiba to diamond..?
 
Mpwa bhana!

Alichosema Chibu ni sahihi. Mosi, huwezi kui-access VEVO from Tanzania na sidhani kama kuna nchi yoyote Africa unaweza kui-access... maybe SA. Na ndio maana hata ukiiangalia Marry You from Tanzania unaipata kupitia VEVO Youtube Channel na sio VEVO per se. Hii maana ni kwamba, majority wanaotumia VEVO kwa huku wanapitia kwa watu; tofauti na wewe unavyoweza kuingia Youtube popote pale na kufungua channel!

Moja ya kampuni zinazofanay hiyo shughuli (middlemen) ni JVT Digital.

Sasa hapo ndo linafuata swali... je; huko wanakopitia wanapata maslahi? Kwa mfano, mimi nikiwa na uwezo wa kuingia as admin kwenye Youtube channel ya kwako, nina uwezo wa kuweka code za matangazo na pesa nikalipwa mimi bila wewe kupata hata senti tano!!!
Rose Mhando kuwa VEVO si ajabu kwa sababu Sony Music ni mmoja wa shareholders wa VEVO huku Universal akiwa ndie largest shareholder.

So, kwavile Rose yupo au alipata kuwa Sony Member kuwa na VEVO Account si jambo la ajabu!!!

Sasa hawa UMG, Sony and the like; kazi za wasanii walio chini yao ni kawaida kuzipitishia VEVO kwa ajili ya kudhibiti copyright issues ambazo ni kimeo kwa upande wa Youtube!!!

As you noted, there is a number of "middlemen" one can use and therefore mileage will vary depending on which content partner (such as Vydia.com, JVT Digital, Marvment etc.) compared with some direct partnership with VEVO via its key content partners (think UMG, SONY Music etc.). It's well known that Diamond signed a distribution deal with UMG and he got to directly negotiate the terms. Adding up to the quality of content, "star power" and consequently the views his new music is getting, his success on VEVO will be way above and beyond compared to those who use third-party content partners. I hope his message is not landing on deaf ears.
 
Naona watu wameanza kusema oooh kisa kaona alikiba kaingia vevo. Hebu nendeni mkaangalia videos na watu waliosubscribe kwenye hizo account ndo mjue chibu hana cha kumuhofia kiba hata kimoja.
 
Ahsante mr "Genius, a most intelligent one", bado nimeshindwa kuelewa "mbona video za vanesa mdee kitambo huwa naziona na hiyo vevo, kwa nini kwa huyu ndio iwe kitu cha ajabu na iwe stori kama vile ni kitu kipya."
Ukimsoma vizurii jamaa utamuelewa tu yeye hakatai watu kuwa vevo ila ni kama anawaasa
Vile" wasijirahisishe kwa vihela vidogo wanavyovipata na kisha kuachwa watupu.... Bali wajithamini na kujiamini kuwa wanaweza" waskae kuuza sura vevo huku wananyonywa haki zao
 
Kichwa maji Wewe........Mtu gani usie elewa? Sisi hatukatai vanessa kuwa Vevo tangu zamani?

Haya wewe unae jua kuwa vanesaa yupo vevo hadi sahizi kaingiza sh ngapi kupitia Vevo? Alikuwa analipwa sawa na Rihanna kwa view mmoja? Vevo wamewahi itangaza wimbo wake hata mmoja? Kuwa na akili acha kuropoka

Au kisa ushauri katoa Diamond
Kwa hiyo wewe na akili zako timamu bila kushawishiwa na mtu unakubali kuwa Diamond analipwa sawa kama anavyolipwa Rihanna?!
 
Umenichekesha,unaona nimekataa wapi kuwa diamond anatoa ushauri?
Hiyo haindoi dhamira ama nia ya kutaka kuleta utofauti kati yake na wasanii ambao wako vevo!!!,(ametumia ushauri kama njia ya kufikisha ujumbe wake mwingine)ukweli ndio huo,kama umesoma post yangu umeelewa
Mimi siyo hater,Bali ni shabiki wa Alikiba.Kutokuwa shabiki wa diamond hainifanyi kumchukia!
Ww nae na alikiba wako ww unafikiri unavowaza ww na wenzio wanawaza ivo domo hana tym na kiba ndo maana anafokasi na mambo yake....na unataka kutwambia kuwa tz n kiba na mond tu ndo wapo vevo, yeye katoa kama ushauri kwa wasanii wenzio lkn kwa kuwa ww n hater basi una ona kama kajisifu watanzania bhana....by the way who is kiba to diamond..?
 
Umenichekesha,unaona nimekataa wapi kuwa diamond anatoa ushauri?
Hiyo haindoi dhamira ama nia ya kutaka kuleta utofauti kati yake na wasanii ambao wako vevo!!!,(ametumia ushauri kama njia ya kufikisha ujumbe wake mwingine)ukweli ndio huo,kama umesoma post yangu umeelewa
Mimi siyo hater,Bali ni shabiki wa Alikiba.Kutokuwa shabiki wa diamond hainifanyi kumchukia!
Siku nyingne kwenye mada ya mond usituletee iyo kibwego wako.....msanii gani kila siku kulia lia tu...show zenyew boko mtasema na huko SA mond kashawish watu wasihudhulie show zake....kaangalie subscribers vevo kwa diamond ndo ujue nguvu yake.
 
Hapo ndio nashangaaga watu!,ghafla from nowhere unamuita MTU kibwengo,shabikia mziki kistaarabu mkuu,,kwenye post iliyopita umesema Mimi ni hater wa diamond,,je mimi na wewe nani hater??? !
 
Kichwa maji Wewe........Mtu gani usie elewa? Sisi hatukatai vanessa kuwa Vevo tangu zamani?

Haya wewe unae jua kuwa vanesaa yupo vevo hadi sahizi kaingiza sh ngapi kupitia Vevo? Alikuwa analipwa sawa na Rihanna kwa view mmoja? Vevo wamewahi itangaza wimbo wake hata mmoja? Kuwa na akili acha kuropoka

Au kisa ushauri katoa Diamond
A aa ishu apa ni diamond kupostiwa insta na twitter? Au katangaza kua yupo vevo?
by the way siamini vevo wanafanya kazi kisanii kiasi cha kuruusu malipo kwa watu wasio husika
Vevo vevo tuu utaratibu upo clier kwa watu wote waliopo vevo
 
sina uhakika kama naropoka na nimerudia kusoma lakini bado nashangaa "mbona video za vanesa mdee kitambo huwa naziona na hiyo vevo, kwa nini kwa huyu ndio iwe kitu cha ajabu na iwe stori kama vile ni kitu kipya."
HAHhahahahahahhah kazi tunayo maana sio kwa kutokuelewa hivi
 
Umeelewa lakini alichoandika Diamond?
Kwahyo unataka kutuamisha kuwa diamond pekee ndie mwenye acc halali ya vevo kuliko wote tz?
Ok hata alikiba ameingia juzi wimbo wa aje remix mbna hamuuzungumzii?
Hivi nyie mnajua kama vanessa ana connection/ uelewa wa soko la kimataifa kitambo sana kabla hata hajaanza kuimba? sidhani kama na usomi wake wote huo anaweza kukubali mabroker katika kitu cha muhimu kama hicho,

[HASHTAG]#tzyasasakizuriakifanyediamondndokinapewaairtime[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom