Diamond, ni nani kakwambia Sumaye na Lowassa ni kabila moja?

Hii dhana ya UKABILA....UKANDA...UDINI...inaanzishwa na CCM wenyewe na sidhani kama wamewahi calculate cost za kufanya Reset pale wanaotukanwa wakiamua kujibu!!!

SUMAYE - KASKAZINI
MBOWE - KASKAZINI
LOWASSA - KASKAZINI
MBATIA - KASKAZINI

Bado unabisha nini hapo?
 
mkucho haswa, nimepita kwa ma shosti tunashuka supu uvivu kuendelea na safari ya jangwani imeniingia mitaa hii ya Upanga.

Nakwambia niko Dar tangu juzi,najiandaa sasa hivi nitimbe zangu Jangwani tukawarudishe wanaotoroka!!fanya uje mwaya
 
Anaposema asilimia kubwa ni kabila moja ana maana gani?? Kwamba waliohama CCM kwenda UKAWA wengi ni kabila moja yaani Lowassa, Sumaye, Masha, Msindai, Makongoro, Mgeja n.k hao wote ni kabila moja au Viongozi wa CDM/UKAWA wengi ndio kabila moja?? Wewe umemuelewaje labda na ni kabila lipi analiongelea??

Alafu pia, kumbuka Diamond ni Public Figure, ana followers zaidi ya laki 8 huko Instagram, hao ni watu wengi sana kuwapandikizia chuki za kikabila kuliko mimi nikiandika humu JF. Kinachosemwa na huyo kinatembea kwa watu wengi zaidi ndio maana kimefika hadi hapa kuliko mimi ambaye sina followers nikiandika huo ujinga. Kumbuka Kenya hapo mtangazaji wa radio alipelekwa ICC kwa ujinga kama huu.. Endeleeni kushabikia ukabila

View attachment 279467
 
Habari zenu wadau..
Leo nikiwa napita napita kwenye mitandao ya kijamii nikaingia kidogo kwenye huu mtandao wa instagram..

Nimezoea kuona msanii Diamond aliyejitoa akili akimpost Magufuli na kumsifia kwa mambo mengi(hakuna tatizo hapa,ni ujinga wake na ni lazima uheshimiwe)..

Lakini leo nimeshangaa kwa kitu alichoandika,eti waliohama wote ni wakabila moja(lowasa,sumaye)..

Sina shaka alichoandika hakijatoka kichwani mwake bali ameagizwa(hilo sote twalijua)..
Tunajua wasanii wote walikua wana msapoti Lowasa mpaka walipoitwa kwenye dinner na kulainishwa na mwanasiasa bora,kuliko wote Tz,Mh.J.kikwete(kumbuka ni mwanasiasa bora na sio kikngozi bora).

attachment.php

MaSwali langu kwa DIAMOND,
1.una wakika kwamba SUMAYE NA LOWASA ni kabila moja.?

2.huoni kama unaleta uchochezi wa kikabila.?

3.ungekuwa Bado upo Tandale,je ungekuwa unamshabikia magufuli.?

4.kama CCM imetutengenezea maisha mazuri na huduma nzuri,kwanini demu wako(Zari) alijifungulia private hospital.?

5.kwanini kabla ya ku post chochote kuhusu magufuli unaomba kwanza usitukanwe.?

Wote ni kabila moja tuuuu! Si wanatoka kanda ya kaskazini! Hiyo mipaka ya kuchorwa na wazungu isikudanganye.
 
Asha bwana hujielewi wewe!!huyo LOWASA ana miaka 38 ndani ya CCM kwa taarifa yako,kwahiyo kama ni kuiharibu basi yeye ndio kinara aliyeiharibu hii nchi kupitia CCM hiyohiyo

Wiki nne ndani ya Chagadema ndio inasafisha madhambi yote aliyoyafanya na kuonekana mtakatifu?!

Uzalendo uzeeni?!mpaka mukatwe ndio mjifanye Wazalendo wakati miaka yote ameikatia viuno CCM

mkuu manyumbu hayaelewi,ni bendela fata upepo ukiwambia tangu 1977 yuko serikali leo hii eti anauzarendo upi?ujana wake wote hakua na falsafa ya uzarendo leo hii ndo anaipata ni upuuzi tu

katika maisha kuna vitu viwili
kuna kwenda shule na kupitia madarasa waliowengi wamepitia madarasa tu na kama wange kuwa wameenda shule wangeandamana kuondoa upuuzi huu na kuakikisha haki ya dr slaa inatendeka,
lkn kwa kuwa hawajielewi basi tu,hamna namna,

Kamati kuu ya CCM ina wajumbe 33.. 22 ni waislamu na 11 ni wakristo. Na hakuna aliyewahi kusema CCM kuna udini

Sio kila kitu uletewe, nenda kwenye website ya chama ukayasome. BTW wewe tukikwambia ulete haya majina ya kabila moja hiyo 80% unayosema utaweza??

Fact and Evidence!ukiyahitaji hayo majina nitakuletea!hebu mjibu Kansigo kwanza hapo juu na bango lake
 
Last edited by a moderator:
Habari zenu wadau..
Leo nikiwa napita napita kwenye mitandao ya kijamii nikaingia kidogo kwenye huu mtandao wa instagram..

Nimezoea kuona msanii Diamond aliyejitoa akili akimpost Magufuli na kumsifia kwa mambo mengi(hakuna tatizo hapa,ni ujinga wake na ni lazima uheshimiwe)..

Lakini leo nimeshangaa kwa kitu alichoandika,eti waliohama wote ni wakabila moja(lowasa,sumaye)..

Sina shaka alichoandika hakijatoka kichwani mwake bali ameagizwa(hilo sote twalijua)..
Tunajua wasanii wote walikua wana msapoti Lowasa mpaka walipoitwa kwenye dinner na kulainishwa na mwanasiasa bora,kuliko wote Tz,Mh.J.kikwete(kumbuka ni mwanasiasa bora na sio kikngozi bora).

attachment.php

MaSwali langu kwa DIAMOND,
1.una wakika kwamba SUMAYE NA LOWASA ni kabila moja.?

2.huoni kama unaleta uchochezi wa kikabila.?

3.ungekuwa Bado upo Tandale,je ungekuwa unamshabikia magufuli.?

4.kama CCM imetutengenezea maisha mazuri na huduma nzuri,kwanini demu wako(Zari) alijifungulia private hospital.?

5.kwanini kabla ya ku post chochote kuhusu magufuli unaomba kwanza usitukanwe.?
Uwe na hekima diamond acha mihemko kiongozi yeyote Mungu atakayetupa ni wetu sote Uwe mjanja hivi hao unaowaita wakabila wakichukua nchi utaweka sura yako wapi
 
Diamond yupo sahihi wote ni wakaskazini.

Mbowe, Lema, Kileo, Nassari, Lowassa, Komu, Mdee, Mnyika, Sumaye, Mbatia, Mtei, Ndesamburo, Selasini.
 
SUMAYE - KASKAZINI
MBOWE - KASKAZINI
LOWASSA - KASKAZINI
MBATIA - KASKAZINI

Bado unabisha nini hapo?

mkuu kuna siri imevuja wenye jicho la tatu wanaifanyia kazi,kwa sasa wanaangaika kupata mtu kutoka kusini na kanda ya ziwa,ili kufuta hiyo picha lakn haisaidi,
umeahau
naibu katibu mkuu mnyika,

Mbona nn mmefanya serikali ya kifamilia, hili hamlioni? Siasa za chuki siku zote ccm ndio siraha yao, watanzania hili wamelizoea, 2010 mlipita misikitini kuwaahidi kadhi, walipowapa kura mkawamwaga,

Mkuu wenye uelewa hatubabaishwi na hizo propaganda zao kwani CCM ndio kawaida yao, Kumbuka kipindi cha Mkapa waliutangazia ulimwengu kua CUF ni wadini.
Kipindi cha Kikwete kwakua ni Mwislam wakautangazia ulimwengu kua CDM ni wadini na wataleta Ushoga.
Safari hii wameshikwa pabaya wagombea wote wawili ni Dini moja hivyo hoja zao za udini zinaenda kufeli ila kwakua ni watu wa kueneza Ukabila, Udini na Ukanda wamekuja na habari za Ulutheri na Ukanda kua kuhama kwa Sumaye ni mpango wa KKKT na Kanda ya Kaskazini.
Naomba niwaeleze tu ukweli nyie Magamba hii dhambi itawarudia tu na wananchi wa kipindi hiki sio hao mliozoea kuwalaghai kwa uchochezi wenu.
 
mkuu manyumbu hayaelewi,ni bendela fata upepo ukiwambia tangu 1977 yuko serikali leo hii eti anauzarendo upi?ujana wake wote hakua na falsafa ya uzarendo leo hii ndo anaipata ni upuuzi tu

katika maisha kuna vitu viwili
kuna kwenda shule na kupitia madarasa waliowengi wamepitia madarasa tu na kama wange kuwa wameenda shule wangeandamana kuondoa upuuzi huu na kuakikisha haki ya dr slaa inatendeka,
lkn kwa kuwa hawajielewi basi tu,hamna namna,

Ni kweli kabisa mkuu!wakitaka uzalendo wamrudishe Slaa na Lipumba tofauti na hapo hao Oil Chafu tu na Makapi ya CCM

Ujana wake woote ametumika kutuhujumu na kutufilisi,sasa hivi ameshazeeka huko amekwisha kabisa amebakia kutetemeka tu mikono ndio anajifanya eti MZALENDO

Mabadiliko Uzeeni kweli?!
 
amejijibu huyu darasa la nne asiweza kuandika hata sentensi moja ya kingereza iliyonyooka bila mssada wa (mfanya biashara maarufu mwenye akili ZARI)...hivi yeye alipokuwa anamuacha wema kuja kwa zari alisema nini.....pole yeye ndiye amechemsha kwani zari ameona mb....ngapi duniani zenye akili,bright,handsome..e.t.c mpaka aje kumzalia yeye mtu mwenye i.q zero, maskini wa kuhongwa milioni na na nape, hana exposore yoyote ya kuwa na mwanamke bright kama zari....maskin umbumbu ni kitu kibaya saana
 
Wewe leo hii wa kumuona dk. Slaa ni mzuri??
Lini umeitakia mema UKAWA?
Hyo elimu unayozungumzia wew hapa ni elimu gani. Kwa hyo kwa mawazo yako hayo wewe ndo unaona umepata elimu??
Nyinyi endeleeni tu kutuita vibaka, nyumbu ila sisi ndo wapiga kura wa hii nchi na tutawaonesha kuwa sisi ni manyumbu oktoba.

nikusaidi sasa mimi ni mfasi wa slaa tangu zamani na nimechukizwa na upuuzi uliofanyika kama unabisha fatilia coment zangu wakati lowasa anatafuta wadhamini na wakati slaa alipokuja mwanza,utajua mimi sio wa siasa za majitaka,

Kumbe kuwa star sio kipimo cha uelewa ..... Cheki alicho post hapa chini ....
Kalishwa maharage ya ccm huyu

Musishangae jamani, hata farasi amepewa akili na misuri ya kumfanya akimbie haraka lakini ni mnyama wa kufugwa tu. Huyu munayesema ni Msanii, anazo za kunyonga kiuno na miguu, lakini kama ni kupanga hoja, hana! Usikute bado ni mtu asiyeweza hata kuandika barua ya kuomba msamaha.
 
Back
Top Bottom