Diamond na wema wapigana chini tena

Diamond na wema wapigana chini tena

more-drama-plz-smiley-emoticon.png
more-drama-plz-smiley-emoticon.png
more-drama-plz-smiley-emoticon.png
more-drama-plz-smiley-emoticon.png
more-drama-plz-smiley-emoticon.png
more-drama-plz-smiley-emoticon.png
 
Kuna wakati muwe serius unapost link tukifungua tunakuta madudu na si kile ulichoandika....

mods jf ishakuwa gpl??
 
Kwani wameshalala mara ngapi? Nadhani wametosheka
 
msilete ujinga bana hii jukwaa siyo la kombolela.
 
Aibu yao..aibu yetu?..hayo ni mpmziko ya mda tu..chezea wema manyota..😀
 
Upuuzi kama huu mtu anauekea heading ya "breaking news" kabisa
 
ukisema haka kajamaa ni numb kunawatu wanaibuka humu nakusema anatangaza Tanzania kwenye BET,hivi ndo hiki tunachohitaji kutoka kwake??huku ndo kutangazwa kwenyewe kimataifa!!!fake people they are always fake,betray fake,pretend fake,loving in fake manner all their entire life are fake..i hope they gonna die to fake
 
Daah coment za wadau nzur sana .KIUFUPI HAYAWAHUSU WAACHENI NI UPUUZ KUSHOBOKEA MAMBO YA WATU

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom