Diamond Muwekee Ulinzi (BODYGUARDS) Tiffah

Sele Mkonje

JF-Expert Member
Oct 2, 2011
643
844
Habari zenu wanajamii..!
Bila ya kupoteza muda hakuna asiyemfahamu Latifa Naseeb Abdul a.k.a Princess tiffah. Ila kwa faida ya wote ni kwamba tiffah ni mtoto wa star namba moja barani Afrika katika sekta ya Muziki. Kutokana na umaarufu wa baba yake ambaye ana mashabiki lukuki na maadui lukuki kuna umuhinu mkubwa sana wa Diamond kufikiria kumuwekea Ulinzi wa kutosha Princess Tiffah.

Najua unajiuliza eti "Kwanini nasema awekewe ulinzi.?"
Jibu ni Rahisi sana. Tiffah ni mtoto ambaye mara nyingi huishi Afrika ya Kusini na pia Tanzania . Kwa upande wa Tanzania hatuna shaka napo kwa sababu watanzania ni wakarimu na wanaweza kumchukia baba wakampenda mtoto.
Tukirejea upande wa pili (Sauzi) nchi ambayo imejaa makatili wa kila namna watu wanaoweza kuchukua dili la kumuua mtu kwa Tshs10000 sio sehemu salama sana kwa mtoto maarufu kama tiffah ambaye ananukia Pesa kila mahali.

Matukio ya Utekaji nyara kwa watoto wa matajiri ni mengi sana.Wahalifu huwateka watoto wa matajiri wakiwa wanatoka shule ama wakiwa wanafanya shoping na kudai pesa kibao ili kuwaachia.

Tiffah soon ataanza kwenda Day care ambapo huko hatakuwa karibu na mama wala baba.Ili kuepusha haya maswahibu yasimkute mtoto wetu wa taifa a.k.a Raisi wa watoto wote basi baba mzazi king mwenyewe Mondi mituzo ajipange kumuwekea MABODIGADI hata wawili kumlinda mwenetu..

Nawasilisha.....
Mungu ibariki Tanzania
[HASHTAG]#mckonjetv[/HASHTAG]
 
Kuna binadam sijui wanafikilia kwa kutumia nn....yan mwanaume una type msg ndefu hivo kuhusu mtoto wa mtu ambae hata hakufaham..wazia familia yako na maisha yako vngnevo jiandae kufukiwa kabulini na umaskn wako
Asante sana kwa Ushauri naomba utume salamu Kwa watu watatu
 
Habari zenu wanajamii..!
Bila ya kupoteza muda hakuna asiyemfahamu Latifa Naseeb Abdul a.k.a Princess tiffah. Ila kwa faida ya wote ni kwamba tiffah ni mtoto wa star namba moja barani Afrika katika sekta ya Muziki. Kutokana na umaarufu wa baba yake ambaye ana mashabiki lukuki na maadui lukuki kuna umuhinu mkubwa sana wa Diamond kufikiria kumuwekea Ulinzi wa kutosha Princess Tiffah.

Najua unajiuliza eti "Kwanini nasema awekewe ulinzi.?"
Jibu ni Rahisi sana. Tiffah ni mtoto ambaye mara nyingi huishi Afrika ya Kusini na pia Tanzania . Kwa upande wa Tanzania hatuna shaka napo kwa sababu watanzania ni wakarimu na wanaweza kumchukia baba wakampenda mtoto.
Tukirejea upande wa pili (Sauzi) nchi ambayo imejaa makatili wa kila namna watu wanaoweza kuchukua dili la kumuua mtu kwa Tshs10000 sio sehemu salama sana kwa mtoto maarufu kama tiffah ambaye ananukia Pesa kila mahali.
Matukio ya Utekaji nyara kwa watoto wa matajiri ni mengi sana.Wahalifu huwateka watoto wa matajiri wakiwa wanatoka shule ama wakiwa wanafanya shoping na kudai pesa kibao ili kuwaachia.

Tiffah soon ataanza kwenda Day care ambapo huko hatakuwa karibu na mama wala baba.Ili kuepusha haya maswahibu yasimkute mtoto wetu wa taifa a.k.a Raisi wa watoto wote basi baba mzazi king mwenyewe Mondi mituzo ajipange kumuwekea MABODIGADI hata wawili kumlinda mwenetu..

Nawasilisha.....
Mungu ibariki Tanzania
[HASHTAG]#mckonjetv[/HASHTAG]
post by an empty-headed ass
 
Back
Top Bottom