wewe ndio babu tale? diamond ndio anapotea wewe unaona kuna haters? wewe unadhani hata video ya thriller ya Michael Jackson ingevunja rekodi kama audio ingekuwa ushuzi mtupu kama hii ya diamond?
nimesikitika sana video ya ukweli halafu wimbo wa kipuuzi
Msidharau mnanda, kuna kundi la mnanda linatoka huko uswahilini linaitwa Jagwa music walifanya show ya kufa mtu kwenye Roskilde Festival 2011 Denmark wazungu hawakukaa chini. Halafu nilikuja kuwaona tena Brussels mwaka 2012, ilikuwa noma. Jamaa walipagawisha jukwaa wazungu walikuwa wanaimbishwa na watoto wa uswahilini, haijawahi mbongo fleva yeyote kufikia perfomance ile. Sasa hapa nawashangaa nyinyi, mnaosema tune ya kizaramo, si msikilize miziki ya kina Beyonce na Jy Z.
Kajitahidi sana kwenye video wimbo ndo cjauelewa kabisa
wejamaa huwezi kuendelea kama unatabia kama hiyo
Usipoteze muda mkuu kubishana na jinga ilo lisilojua muziki,alafu kwa akili yake fupi linadhani linapatia kweli linachokiongea...Linasema muziki wa saida karoli ndio wa kitanzania kwa kuwa nshomile mwenzie,ila wa kizaramo sio wa kitanzania kisa alipendi wazaramo......Alafu linasema management ya diamond mbovu haimshauri vizuri then lenyewe linashauri angefanyia video iyo rufiji kwa milioni 10...ilo linachoweza ni kumsifia slaa tu na mbowe.
kwahiyo diamond hana Mungu? hii mupya kabisa!!
maskini bwana yani anakuwa na hasira hata kla sababu,mtaje msanii unaehisi kafanya kumzidi diamond?
Washauri wa Diamond kwa ushauri huu waliompa wa kutoa nyimbo mbili na video kwa mkupuo na wakasema hizo ndio sababu,ni wazi wameteleza wanapaswa kujitazama upya.
upambe mwingine mnajitowa mpaka akili, kwahiyo huyo babu tale yeye ana sifa za kimungu? hakosei?I bet they know better what they are up to.. Babu Tale analijua soko la muziki wa Bongo better than you do...!!
Just thinking..!!
upambe mwingine mnajitowa mpaka akili, kwahiyo huyo babu tale yeye ana sifa za kimungu? hakosei?
hivi mnadhani 2pac shakur ni mtu wa kuigwa na amateurs musicians kwa sababu yeye alitoa double cd ya all eyes on me?