Diamond kaleta sifa Tanzania

Halafu nyimbo zake nyingi zinachezeka, siyo kama zile zinakufanya uanze kusinzia. Hii nomination itampa motisha zaidi katika kutoa vibao vikali zaidi.
 
Ni show ambayo huandaliwa vizuri sana na nyimbo nyingi zitakazopigwa siku hiyo ni hizi ambazo ziko kwenye chart, huwa nahakikisha siikosi.

nitajitahidi hiyo siku nitulie nichek
 
Ni show ambayo huandaliwa vizuri sana na nyimbo nyingi zitakazopigwa siku hiyo ni hizi ambazo ziko kwenye chart, huwa nahakikisha siikosi.

tarehe zikikaribia naomba unikumbushe tafadhali
 
Reactions: BAK
Ni show ambayo huandaliwa vizuri sana na nyimbo nyingi zitakazopigwa siku hiyo ni hizi ambazo ziko kwenye chart, huwa nahakikisha siikosi.

Long time man! Happy to see you around!!,
 
Reactions: BAK

Acha wivu wewe kwani uyo AY wao hawamjui c wamemuona hajakidhi vigezo n by the way izo ngoma za ki international ndo zina alama gani.mnyonge mnyongeni lkn haki yake mpeni!! kizuri hakijitangazi bali kinaonekane chenyewe na watu
 
Hongera diamond kwa kutupepeshea bendera yetuuuuuu
 
Kuna ubeti kwenye my number One davido anaimba kwamba kutoka Tanzania mpaka lagos nitakufanya uwe maarufu Ama kweli huyu jamaa alipatia, kiasi kikubwa Davido kambusti huyu dogo kwenye ile remix!!
Nenda katafakari tena....all lyrics were ment for the chick they wa singing about...wanamuimbia msichana c davido anamuimbia diamond
 
USHOGA ni kuchukia maendeleo ya mwanaume mwenzako! BIG UP DIAMOND
 
ya nini kuanika sharubu hapa?!!.....we mtoa mada umekurupuka sana kama vp nipe maelezo namna ya kuvote...lasivyo simtambui huyu dogo kati yawaliomo BET
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…