Diamond: inakuwaje tena Jombaa?

Diamond: inakuwaje tena Jombaa?

599084_490001597687519_1926365936_n.jpg

Huyu Naye Kakosa Mchumba so kaamua Kujitumbukiza Jeshini
 
Bora aingie jeshini kuliko kwenda kujiuza.

Kwani Jeshini hawanunui? Anaitwa Mwalimu Dorothy huyu naona Jeshini huko ni mgongano tu.... Kina Barlow yaliwakuta
 
Usifikiri kila mwanamke kazi yake ni kujiuza. Heshimu mama zako.
 
Nadhani sikuhizi umekuwa dakika mbili mbele unasahau maneno yako mambo ya kujiuza umeyaanzisha wewe mimi nilisema amekosa mchumba wewe ukasema kuliko kujiuza so wewe ndie wa kuheshimu mama zako

We jamaa umeweka picha ya kijana wetu NASREEM ABDUL!!!!???
 
wanaume changamkieni tenda, kijana wa Tandale ameuweka sokoni 'mkunyenye' wake
 
Aaaaaaaaahhhhh yaaani mmeniamsha kwa kicheko labda nitapata ela leo
 
Cheka tu ndugu yangu sirdelta , maisha yenyewe yako wapi haya, weka shida chini tanua mbavu kwa raha zako
 
Last edited by a moderator:
Nadhani sikuhizi umekuwa dakika mbili mbele unasahau maneno yako mambo ya kujiuza umeyaanzisha wewe mimi nilisema amekosa mchumba wewe ukasema kuliko kujiuza so wewe ndie wa kuheshimu mama zako

Na hii ni ya nani?

Kwani Jeshini hawanunui? Anaitwa Mwalimu Dorothy huyu naona Jeshini huko ni mgongano tu.... Kina Barlow yaliwakuta
 
Afu huwa nashindwa kuelewa kwa ni hivi vitendo ni vingi sana huku pande zetu sie WATAKADINI mombasa, tanga, zenji, dar,e.t.c afu mara utaskia aunt HASHIM, aunt BILALI, sasa na huyu msanii ni mwenzetu pia sijui ataanza kujiita aunt NASREEM ABDUL,,,,!!!!!!???? shwari lakini anatuwakilisha vyema sie wachomaji....

Sana,na ndo wanaongoza
 
Mh! Safari bado, fani yoyote bila elimu ni matatizo tu.
 
domond ameanza UCHOKOzi
ndo maana anapenda sana kutuonesha makalio yake meusi tii kama alivyofanya fiesta na pia anapenda sana kushikwashikwa hayo makalio yake
 
Back
Top Bottom