Me I and my self JF-Expert Member Joined Sep 16, 2016 Posts 4,084 Reaction score 8,861 Jan 3, 2017 #21 Anaeota pembe muongezee mkia,
Imposibo_ JF-Expert Member Joined Feb 1, 2016 Posts 2,746 Reaction score 2,125 Jan 3, 2017 #22 wise-comedian said: Kila mtu lazima atafute kiki kwa diamond, kweli unga wa ndele alioogea huyu kijana unafanya kazi Click to expand... Vijana wa mwananyamala mna kazi sana ivi umeelewa alichosema Darasa?
wise-comedian said: Kila mtu lazima atafute kiki kwa diamond, kweli unga wa ndele alioogea huyu kijana unafanya kazi Click to expand... Vijana wa mwananyamala mna kazi sana ivi umeelewa alichosema Darasa?
princess ariana JF-Expert Member Joined Aug 19, 2016 Posts 9,687 Reaction score 19,358 Jan 3, 2017 #23 darassa aongezewemkia
Powder JF-Expert Member Joined Jan 6, 2016 Posts 5,279 Reaction score 7,149 Jan 3, 2017 #24 Victoire said: Basi ajiite bomu la nuclear , likilipuka,Binamu hawezi kuliangamiza kabla halijammaliza . Click to expand... Binadamu wanlizuia kabla halijaripuka mkuu!
Victoire said: Basi ajiite bomu la nuclear , likilipuka,Binamu hawezi kuliangamiza kabla halijammaliza . Click to expand... Binadamu wanlizuia kabla halijaripuka mkuu!
Waberoya Platinum Member Joined Aug 3, 2008 Posts 15,157 Reaction score 10,828 Jan 4, 2017 #25 troublemaker said: ngoja tuone mwisho itakuwaje manake wimbo mmoja umehiti sana basi imekuwa nongwa. angalieni tusimpoteze kibakuli. mana comparison mmeiamishia kwa darasa Click to expand... unazifahamu nyimbo zingine za darasa? usije uawa unaujua huu tu ebu ingia youtube
troublemaker said: ngoja tuone mwisho itakuwaje manake wimbo mmoja umehiti sana basi imekuwa nongwa. angalieni tusimpoteze kibakuli. mana comparison mmeiamishia kwa darasa Click to expand... unazifahamu nyimbo zingine za darasa? usije uawa unaujua huu tu ebu ingia youtube
Bome-e JF-Expert Member Joined Jan 3, 2014 Posts 17,208 Reaction score 26,272 Jan 4, 2017 #26 Wamunzengo said: umeona eeeh.! Darasa nae kaamua kujisogeza kwa Diamond kiana. angalau tuu amzungumze Diamond nae asfishe nyota. Duh.! Mondi kweli kaishika bongofleva. wacha tuone what the future holds for him. Click to expand... Ndio inaitwa akili kubwa,anapiga mashabiki wa diamond,anapiga mashabiki wa Kiba akijumlisha na wakwake na kuokoteza basi yuleeeeeee!
Wamunzengo said: umeona eeeh.! Darasa nae kaamua kujisogeza kwa Diamond kiana. angalau tuu amzungumze Diamond nae asfishe nyota. Duh.! Mondi kweli kaishika bongofleva. wacha tuone what the future holds for him. Click to expand... Ndio inaitwa akili kubwa,anapiga mashabiki wa diamond,anapiga mashabiki wa Kiba akijumlisha na wakwake na kuokoteza basi yuleeeeeee!
enock yusto JF-Expert Member Joined May 28, 2014 Posts 377 Reaction score 342 Jan 4, 2017 #27 Aya leo atakuja kunywa chai pale wcb
C Chige JF-Expert Member Joined Dec 20, 2008 Posts 13,493 Reaction score 29,888 Jan 4, 2017 #28 mambo said: Watamuingiza wasafi sasa hivi....ili wamcontrol kwa sababu anakuja kwa kasi ya treni. Click to expand... Kama wanavyom-control nani kwa mfano?!
mambo said: Watamuingiza wasafi sasa hivi....ili wamcontrol kwa sababu anakuja kwa kasi ya treni. Click to expand... Kama wanavyom-control nani kwa mfano?!
salazar JF-Expert Member Joined Aug 13, 2016 Posts 681 Reaction score 390 Jan 4, 2017 #29 Ajiite SATAN 2 lile dude la urusi
Mwana JF-Expert Member Joined Aug 6, 2010 Posts 5,435 Reaction score 1,967 Jan 5, 2017 #30 mambo said: Watamuingiza wasafi sasa hivi....ili wamcontrol kwa sababu anakuja kwa kasi ya treni. Click to expand... Naomba wimbo wake wa pili tafadhali! wa kumsifia hapo naona ni producer kwani kilichouinua huo wimbio ni beats si kingine!
mambo said: Watamuingiza wasafi sasa hivi....ili wamcontrol kwa sababu anakuja kwa kasi ya treni. Click to expand... Naomba wimbo wake wa pili tafadhali! wa kumsifia hapo naona ni producer kwani kilichouinua huo wimbio ni beats si kingine!