Utafikiri yy ndio mtz wa kwanza kuimba na p2
roho mbaya ni ugonjwa kama magonjwa mengine tu!
Nimesimama kabisa naisubiri collabo kubwa Africa sina wasiwasi sababu najua soon mzigo utaachiwa.
Wala sina haja ya kuvuta kiti na kukaa kuusubiri mzigo kama nasubiri video ya ule wimbo wa Ali.
Utafikiri yy ndio mtz wa kwanza kuimba na p2
roho mbaya ni ugonjwa kama magonjwa mengine tu!
Big up platnumz tunasubiri pini hilo.
HAUSHUKI LABDA UFE. Naona hii kauli imewaudhi wengi haha