nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,784
baada ya fid kuwakandia kwenye tangazo la fiesta jamaa nao wametupa jiwe gizani
ni fid qMe nahisi wanamwambia rich mzee
Unaonaje na wewe ukabeba utokeHawa mafala ngada ndio imewabeba wakatae ..tutoe mpaka majina ya watu wanaowapelekea Italy
Unaonaje na wewe ukabeba utoke
Fid QMe nahisi wanamwambia rich mzee
Hawa jamaa hilo linawezekana linaukweli mna safari kila siku show zingine watu hawajaiHawa mafala ngada ndio imewabeba wakatae ..tutoe mpaka majina ya watu wanaowapelekea Italy
dada mange kumbe hadi uku upoHawa mafala ngada ndio imewabeba wakatae ..tutoe mpaka majina ya watu wanaowapelekea Italy
kwa sasa hvi kusafirisha ngada ni kazi moja ngumu sana na isiyo wezekana kirahisi.... Ukitaka kusafirisha unga labla uwe na connection na madiplomant hahahaHawa jamaa hilo linawezekana linaukweli mna safari kila siku show zingine watu hawajai