Diamond azindua Pafyum yake ya Chibu, bei yake ni balaa

Tangu uanze kumchukia Diamond umempunguzia nini na wewe umeongeza nini?
Tangu uanze kumchukia Diamond umempunguzia nini na wewe umeongeza nini?

Hebu acha kupanic kama Bashite.

nimekuuliza swali kutokana na hiyo bidhaa ya mtu mwingine unayosema inafanana exactly na ya Diamond,

swali langu ni, Je kwa maelezo yako Diamond kacopy huu mzigo ndiyomaana unaufananish na huo wa ulaya??
 
Back
Top Bottom