Diamond aokolewa na polisi Ujerumani

Diamond aokolewa na polisi Ujerumani

Kwa kifupi mi naona kajiharibia show zingine zote za ulaya na sehem nyingine. Unajua kwa kuwa haoa bongo watu wanamkweza ndio maana anatujia alfajiri. Nakumbuka kuna show alifanya Geita kwa kweli alitudharau vya kutosha kama mashabiki. Ukumbi mbaya, mvua ikatunyeshea na bado alichelewa kuja. Bad enough akaimba nyimbo mbili tatu akatambaa....
Kweli kuchukua promota Nigeria ni kupoteza dira kutokana na sifa za utapeli walizonazo raia wa nchi hiyo....

mmh mi prfile pic yako hiyo ndo ugonjwa wangu huo.
 
Hahaha.... mabesela
Unayagongesha kweli nn hayo mabesela

aha ha haaa zamani nilikuwa mahiri kugonga nguzo za goli katika soka ndio nikaotwa mabesela na sasa ni mahiri mabesela halisi ya .......
 
Last edited by a moderator:
aha ha haaa zamani nilikuwa mahiri kugonga nguzo za goli katika soka ndio nikaotwa mabesela na sasa ni mahiri mabesela halisi ya .......

Hahahaha....
Ndio ilikuwa maana yangu. Basi utakuwa na watoto wengi sana. Mi wananitosha bana usigongeshe kwangu kiruuuuu....
 
Hahahaha....
Ndio ilikuwa maana yangu. Basi utakuwa na watoto wengi sana. Mi wananitosha bana usigongeshe kwangu kiruuuuu....

aha haaha nagongesha kwa tahadhari na usalama uliothibitishwa na OSHA usiogope watoto wawili tu ninao teh teh mama kleruuuu.
 
kwa hiyo hata chini ya mti ni ukumbi????????????
 
kwani mleta mada hapo unachotuhabarisha ni kipi..CHUKI AU POLE YAKE DIAMOND
 
Back
Top Bottom