Diamond anahamasisha matendo ya laana

elcaptain

Member
Jul 7, 2014
95
106
Kwenye wimbo alioshirikiana na AY kuna mstari anasema '' singida-dodoma kitandani sodoma'' misho wa kunukuu

Karibun wana janvi tueleweshane kijana wetu alimaanisha nn?
 
sasa la kuambiwa changanya na lako... akisema hivyo ndo kakushika kukwambia fanya....

ule ni wimbo. upo kwa ajil ya watu wote.. wengine kwao hiyo sodoma ndio starehe na jambo la maana...
wengine ni jambo baya..

chamsingi chukua maneno mazuri..mbaya achana nayo...

make me sing......mapela
 
Nakubaliana na ww kwamba ni mji, lakin ndo uliopelekea kuwepo kwa neno sodomy

Sodomy means anal intercourse btn human beings, or any sexual relations between a human being and animal, the act which may be punishable as criminal offence.
 
Back
Top Bottom