Diamond ana miaka 33 na wewe una miaka 33 ila wewe huna kitu

Haaland ana 22yrs
Hakimi ana 24
Mbappe ana 24
Ethan Mbappe ana 16

Turudi kwako, wakati uko kwa early 20s ulikuwa na nini? Au ndio utasema tusikufananishe na wazungu?
Kipindi ana miaka hiyo alikuwa na Nokia Asha aliyopewa na Mama yake, baada ya kumaliza kurisiti kidato cha nne. Asubuhi akishapata zake buku au jero za wizi kutoka kweye change za vitafunio anaenda kuweka vocha, ana-download video za ngono, ni mwendo wa kujichua tu! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Waafrika tuna madudu sana! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΎ
 
hoja ya mleta uzi ilikuwa nzuri ila huenda uwasilishaji wake wa kukera ndo umefanya watu wameenda against


pia katika maisha ya mafanikio jifunze, usijifananishe na mwngne (hilo ni kosa kubwa utakuwa umefanya)


MFANO ULIO HAI

mimi na ww tunafanya biashara ya aina moja ,mtaji wa aina moja (hapa namaanisha mimi nimeingia na 500k na ww pia 500k

biashara tumeifanya ndani ya mwaka mmoja tu mi nikawa mbali kukuzidi ww( yaan mara tatu ya mtaji wako)


unabaki unajiuliza mbna mm nimepiga hatua sana???


sasa hujui humo katikat nimekutana na nini ,huenda tumegawana mali za urithi,huenda ndugu wameona tu wanichangie kukuza mtaji,huenda kaka yangu ameniwezesha zaid na zaid

tukija kwako humo katikat umepata majanga ya kufa mtu ,kila ukitaka kuinuka yanakuja matatzo yanalamba ukichokuwa nacho.


NJE YA TASWIRA

watu wataamini nina pambana kuliko ww,wataamin ww ni mzembe,au huna uwezo wa kuzalisha biashara na kwenda na muda


KWA HIYO USIPENDE KUJIFANANISHA,NJIA UNAZOPITIA NI TOFAUTI NA WENGNE.


MWISHO

kuna watu kwenye maisha wana kismart yaan mtu agonga 60yrs hajawahi kukutana na majanga makubwa wala mitikas migumu ya maisha ,ila ww hata 28 hujafikisha mara umeibiwa ,mara umefiwa na mke ,mara nyumba imesombwa na maji hahaha
 
Back
Top Bottom