Kideo cha chekecha mnatoa lini?
Video ya bongo inayoongoza kwa views nyingi YouTube ni sugua gaga,sasa tuseme ni bora kuliko diamond!
Video ya bongo inayoongoza kwa views nyingi YouTube ni sugua gaga,sasa tuseme ni bora kuliko diamond!
Jaribu ku-update hii taarifa.Nenda tena youtube ukahakikishe hichi unachoandika.
Kweli ibaki kuwa kweli na isigubikwe na ushabiki
https://youtu.be/8Xf0e_kwRx4
Jaribu ku-update hii taarifa.Nenda tena youtube ukahakikishe hichi unachoandika.
Kweli ibaki kuwa kweli na isigubikwe na ushabiki
https://youtu.be/8Xf0e_kwRx4
View attachment 263502Watakuita Team Kiba sasa hv.. kizazi hiki kaaazi kweli
MTV mama Diamondplatnumz (best male, live, collaboration) & vanessa (best female)
⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇
MAMA 2015
MAMA 2015
MAMA 2015
MAMA 2015
⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆
link hiyoooooooooooo... #wasaaaaaaafi
___________________________________
Hakikisha unapiga kwa kutumia browser, na lazima kusign in kwa Facebook, twitter, or email... Kila kipengele 20 votes kila siku, kwa waliojiunga na email, au twitter wanapiga bila kikomo...
vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote
Kama msanii bora angekuwa anapimwa na views za youtube....yule Psy wa Gangnam style ni msanii bora kuwahi kutokea Duniani..
from bottom of my heart....Diamond ana jitahidi sana km vile alivyokuwa marehemu Kanumba ktk bongo movies.
Msimu wa ndimu umeisha wacha watapike tu,manake hata kideo cha chekecha hakijatoka mwaka unaisha huu,na nyumba kafukuzwa anaishi kwenye madaladala anazuga ni tour.
Huu Uzi umetulia hadi raha team pinzani siwaoni😂