Diamond amezidi kujidhihirishia ubora wake dhidi ya Davido

Diamond amezidi kujidhihirishia ubora wake dhidi ya Davido

sifa nyingine hizi hapa diamond kamshinda davido 1. anamdomo mkubwa kuliko davido 2. anaishi na mwanamke anayemzidi umri 3. davido ana mtoto na degreee 4.diamond katolewa na davido au hizi sio sifa
 
Trace TV ni kituo cha TV cha Ufaransa maarufu
kwa burudani ambapo kwa miaka kadhaa sasa
hivi kimeendelea kuchukua watazamaji wapya
wapenda muziki kila siku kutokana na ubora wa
muziki unaopigwa na wao, video kali kutoka kila
kona ya dunia ambapo leo kituo hicho ya
kimesema hizi ndio video 10 bora za Africa
zinazotamba wiki hii zikiwemo za watanzania
wawili (Vanessa Mdee & Diamond Platnumz)
10.Timaya ft Phyno & Deettii- Gbagam
9.Iyanya & Diamond Platnumz – Nakupenda
8.Vanessa Mdee ft K.O – Nobody But Me
7. Mi Abaga - bad melle
6.Runtown -The Banger ft Uhuru
5.Wiz Kid – Expensive Sh*t
4.Davido ft Meek Mill (Fans Mi)
3.YemiAlade ft. phyno
2.Diamond Platnumz ft Mr Flavour – Nana
1.Olamide- Bobo

From Millardayo.com

Why do you compare Mond and Davido?
 
sifa nyingine hizi hapa diamond kamshinda davido 1. anamdomo mkubwa kuliko davido 2. anaishi na mwanamke anayemzidi umri 3. davido ana mtoto na degreee 4.diamond katolewa na davido au hizi sio sifa

Kiba yeye ana nini we mbusi?
 
et wanamlinganisha kupitia viewers yani davido ndo kamfanya diamond awe fameous nigeria halafu mnashindanisha nae jamani acheni huo ushabiki maandazi na supu
 
Why do you compare Mond and Davido?

mkuu huu sio ushabiki ni ushamba kama ndo ivyo "PSY" ndo ana viewers weng you tube kushinda kina jayz chris brown kwa hiyo na yeye ni bora kuliko hao duuu ila hapana davido c ndo kamtoa diamond leo wanamcompare naye #kebekebe
 
Tanzania haitaendelea sababu ya hizi timu. Kila mtu ana haki ya kuongea kile anachoona ni bora kuongea.
Views za youtube si kuwa ni ubora wa kitu fulani. Hiyo sugua gaga haijshinda kitu ila ina views nyingi karibia Nusu ya Watanzania wote
 
et wanamlinganisha kupitia viewers yani davido ndo kamfanya diamond awe fameous nigeria halafu mnashindanisha nae jamani acheni huo ushabiki maandazi na supu

mbona alikiba alipata umaarufu mkubwa kupitia wimbo alioshirikishwa na queen darlin 2007,

Acha kujipanikisha hovyohovyo em kapige kura kwa icon wa taifa sio maneno maneno ya ukiazi hapa... Best live, collable na male afu subiria performance yake na neyo tunavyozizoa tuzo zetu woyooooooooooo
 
duh usiku mwemah aisee ngoja nikaifikirie hiyo coment yako #kebekebe
 
Back
Top Bottom