Diamond amezidi kujidhihirishia ubora wake dhidi ya Davido

Diamond amezidi kujidhihirishia ubora wake dhidi ya Davido

Kidingi

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
1,872
Reaction score
1,832
Katika kazi za hivi karibuni kati ya mastaa wakubwa zaidi barani afrika King of pop Afrika ya mashariki Diamond Platnumz aka. Chibu dangote toto la kimanyema amezidi kung'ara zaidi juu ya OBO baddest, Davido adeleke..

Licha ya davido kufanya project yake na raper mkubwa marekani Meekmill, sesan akiwa director kazi ya diamond ft. Mr. Flavour "Nana" imepata mapokezi mazuri zaidi kutoka kwa mashabiki huku style ya sankoro ikiwa gumzo kila pande ya Afrika na baadhi ya maeneo nje ya bara..

Kwenye mtandao wa youtube "nana" ilifanikiwa kuangaliwa na watu zaidi ya 1000000+ ndani ya siku 12 tokea iachiwe tar 29 mei.., wakati "fans me" ya davido imeachiwa tar 9 june na ndani ya siku 14 mpaka leo haijafika views milioni moja ikiwa imetimiza 950k+.. Hii inaonyesha ni kiasi gani kazi ya diamond imepokelewa kwa ukubwa na kufurahiwa na wengi..

Hata hivyo kwenye kituo kikubwa cha TV Trace katika top ten Africa
"Nana" inakamata nafasi ya 3, huku
"Fans me" ikikamata nafasi ya 4 na zote zinapanda kwa kasi
Pia kwenye nafasi ya nane diamond unamkuta kwenye wimbo alioshirikishwa na iyanya "Nakupenda"

Watanzania wamezidi kufurahia uwepo wa king of pop diamond ambae anatarajia kupata tuzo tatu MTVMAMA kama alivyofanya channel o mwaka jana, ambapo mpaka hivi sasa anashikiria rekodi kama msanii wa kwanza tokea Afrika mashariki kupata nomination 5 ndani ya miaka miwili MTVMAMA huku wakimpendekeza kama msanii bora wa kiume barani miaka yote....

"Nana" Diamondplatnumz ft. Mr flavour
https://m.youtube.com/watch?v=IflpfcHmq5I

"Fans mi" Davido ft. Meekmill
https://m.youtube.com/watch?v=3E6pwUO1b7s&itct=CDgQpDAYASITCKmbvbXXg8YCFYgSHAodFzsAQlIOZGF2aWRvIGZ0IG1lZWs%3D&client=mv-google&gl=TZ&hl=en
 
Tunampongeza sana kijana wetu kwa kuchapa Kazi sana na pia kuwa na malengo ya kusonga mbele zaidi na kufikia katika level za juu kabisa kitaifa na kimataifa. Big up diamond
 
Jana nilichek abt ths ur right Davido na ngoma yke fans Me I thk imegharimu hata mara4 kifedha zaidi ya ngoma ya Nana ya Diamond lkn nikashangaa mpaka jana nachek Youtube Fans Me haijafika views milioni wakat diamond in 12days alikua tayar ana views 1m. Diamond ni noma na pia Video ya Davido ft Uhuru imetoka inamiezi kama 6 hiv ina views 2M that means Nana yenye wiki 2 adi sahvi ina views 1.6M itaipikua ad hyo Ya Davido ft Uhuru. #Nana is the best song in Africa ryt now
 
very true.. Hii nyimbo imepata mapokezi mazuri sana na hasa style aliyoimba ndani humu inafanya hata asiyeelewa lugha ya kiswahili aupende ukiachana na jinsi unavyochezeka..
 
very true.. Hii nyimbo imepata mapokezi mazuri sana na hasa style aliyoimba ndani humu inafanya hata asiyeelewa lugha ya kiswahili aupende ukiachana na jinsi unavyochezeka..

Yah Diamond ni mjanja sana imagine watu wangapi hawaelewi kiswahili bt wanapenda sana nyimbo zake hs voice and dance ppl go crayz abt t en lifestyle yke ni real celebrity"
 
Na nafkr kitu ambacho kinaifanya nana ipasue sana kulko fans mi ni aina ya mzki coz nana iko ktk maadh ya afro pop zaid ila fans m inasound kimagharb zaid na kumbuka hz media(mtvafrca,trace,channel o na zingnezo za afrca zna project ya kupromote na kukuza afropop music na ndo mana ukiangalia nana inachezwa zaid ktk hzo media kulko fans m na kwasabab ndo mana unakuta nana imepata mafanikio zaid.
Pia to be honest tuu nana inachezeka na inaimbika so ina kila sabab ya kutoboa c kama ronaldo ila n zaid ya ronaldooooo.
 
Facts and Evidence...:thumbup::thumbup::thumbup:
 
Back
Top Bottom