ukikukulia tandale kwa bi nyau ndo matatizo yake hayo!!haya bwana,furahia maisha tabu zilikuwa nyingi utotoni hata hizo K za kina UBAYA ungezikia kwenye magazeti tu ungekula za kienyeji,kula maisha dogo,ishi utakavyo,uliteseka sana!!!
Katika Hali ya Kushangaza kidogo Diamond Amenaswa na Kamera Akipaka wanja Kama Wafanyavyo wanawake..Picha hii inazidi kuzua Hisia Nyingi Kuhusu Diamond Hasa baada ya ile ya Skendo ya Kuvua suruali na kubaki na boxer jukwaanii....
Chanzo vijimambo blog
Hivi hawa mastaa si wanaliwa ga migongo na yule mwarabu mzee wa t.o....alieibwa na mista naisi,duli nae nasikia ga alishatafunwa na mpita njia,mwenye kujua zaidi atuhakikishie hapa.