Diamond ajaza nyomi la watu Zambia

Wewe huoni hao wengine ni wasindikizaji?
Ata Cassper Nyovest alijaza uwanja wa mpira lakini waliperform wasanii kibao kuanzia Wizkid , Nasty C , mtee lakini record imeandikwa kwamba Cassper ndo kajaza
Hahahaha kumbe unakiri kuwa lilikuwa tamasha. Goooood.
 
Omo au FOMA
 
Watu tunaangalia who is main artist....kwenye hiyo show watu kibao wamekuja kwa ajili ya mond na si local artist....mond punguza kidogo maana balaa lako moja tu nchi inatikisika
Hahaha kumbe alikuwa main artist. Na siyo only artist to perform. Well and good.
 
Wewe huoni hao wengine ni wasindikizaji?
Ata Cassper Nyovest alijaza uwanja wa mpira lakini waliperform wasanii kibao kuanzia Wizkid , Nasty C , mtee lakini record imeandikwa kwamba Cassper ndo kajaza
So mmeiga record. Okay hahahaha
 
hyo show ya uwanjani tu kwanza alikuwa aende tecno bahati mbaya tecno akawa ameumwa.hilo huwa ni tamasha kubwa huko zambia kama fiesta vile sio diamond alojaza ni kawaida yao
 
Ndo maana ya kuwa msanii mkubwa unaenda kitumbuiza kwenye matamasha sio show za kwenye night clab au sebuleni
Wacha bana unataka sema kina kanye west, maria carey ni wasanii wadogo wanapotumbuiza sebleni kwa birthday za watoto wa vigogo hahahahahha. Wakat mnaanzisha thread muwe mnajipanga
 
hyo show ya uwanjani tu kwanza alikuwa aende tecno bahati mbaya tecno akawa ameumwa.hilo huwa ni tamasha kubwa huko zambia kama fiesta vile sio diamond alojaza ni kawaida yao
Nyumbu wa mondi sijui kwa nini hawajiamini mpaka leo
 
Wacha bana unataka sema kina kanye west, maria carey ni wasanii wadogo wanapotumbuiza sebleni kwa birthday za watoto wa vigogo hahahahahha. Wakat mnaanzisha thread muwe mnajipanga
Wewe kweli chenga bars hazisomi ulishawahi kuona wizkid au davido anaenda tanazia au malawi kutumbuiza kwenye birthday au night club?
 
Wacha bana unataka sema kina kanye west, maria carey ni wasanii wadogo wanapotumbuiza sebleni kwa birthday za watoto wa vigogo hahahahahha. Wakat mnaanzisha thread muwe mnajipanga
Wasanii kama hao wakipata mialiko ya aina hiyo huwa hawaiweka ktk kalenda zao za TOUR,na kibakuli hakuna alikosema kama hizo anazofanya ni mialiko ya birthday,ila mwenyewe anaiita ni world tour na anatumbuiza bar.
 
hyo show ya uwanjani tu kwanza alikuwa aende tecno bahati mbaya tecno akawa ameumwa.hilo huwa ni tamasha kubwa huko zambia kama fiesta vile sio diamond alojaza ni kawaida yao
Dada ongea kwa vidhibitisho, ni wapi ilipoelezwa kuwa hiyo shoo alitakiwa Tecno ......Hivi kwa upeo wako mdogo watu wanapoenda kwenye burudani wanafuata JINA LA HILO TUKIO AU WANAFUATA WATOA BURUDANI WA HILO TUKIO .......??
 
mimi na wewe nani mwenye upeo mdogo .wewe unaeshobokea jambo hata usilolijua .sina muda wa kubishana na watoto msiojua lolote kwanza tafuta nyumbu wenzako .na kwa taarifa yako sio kwamba mimi sio shabiki wa diamond napmpenda diamond sana ila mimi sio shabiki maandazi kama ninyi.hyo show diamond angekuwepo au asinmgekuwepo hilo tamasha huwa linajaza vibaya mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…