Diamond aja na Wasafi Festival kushindana na Fiesta?

Una tatizo kubwa kwenye argumentation skills zako. Unawezaje kucriticise bila kuonesha mbadala? Nikisema haujielewi utasema nimekutukana?
Ukisema hujielewi afu binafsi najielewa ntaona umechosha vidole... heading yako ungetoa part ya kushindana na fiesta ungekua umetenda haki. Sababu umeandika as if umemnukuu msemaji mmojawapo wa wasafi.
 
Mnachobishana ni nini? yeye kataja Wasafi vs Clouds kwa sababu level za wasafi kwa sasa ni za Clouds so wanadeserve kucompete...WCB hawawezi kushindana na EFM ambao nguvu yao ndogo sana ni sawa na kuichukua BBC uipambanishe na Le Mutuz Media which is not fair...!!! but alichoteleza mtoa mada ni kichwa cha habari...
Ni wazi Lemuz Media itashinda
 
MATAMASHA Yako machache.. Wazo zuri sana.
Mambo ya kushindana na fulani lazima yasemwe .. Lakini ukweli unabaki palepale WcB ni Brand kubwa Ina uwezo wa kufanya lolote.
 
Thubutuuuu...hawana mileage..EATV wameshindwa..Cloudsss na msauti wa radi
 
Una tatizo kubwa kwenye argumentation skills zako. Unawezaje kucriticise bila kuonesha mbadala? Nikisema haujielewi utasema nimekutukana?
hahaa naona leo unatema Cheche"" kimsingi " ukiwa ni mfanya biashara wa duka ..halafu ikatokea mtaa huo huo unaofanyia biashara yako akaja mtu mwingine kufungua duka LA bidhaa kama zako "" basi anakuwa mpinzani" hata kama yeye mwenyew hataki kuutambua huo upinzani wenu ""
 
Mbona Mond kampita Kiba, na Kiba alitangulia ktk mziki??.....



Ngoja nijifiche hapa nisubiri mapovu ya wenye timu zao...
Mkuu unachanganya mambo,nazungumzia Brand sizungumzii mtu,Mtu anapita tu,Mtu anapokeza vijiti kwa wengine lakini brand itaendelea kuwepo,Kusaga/Ruge/Seba/Simalenga hata wakiondoka kwenye management watakuja new bloods na kuendeleza brand ya fiesta,Brand ya Fiesta ndio nayozungumzia na si mtu anayeindesha fiesta.
 
Kichwa cha habari kimekaa kihovyo hovyo.... jifunze kuandika, otherwise waache wafanye wasanii wapate pesa na wafanyabiashara na wananchi waburudike
Kichwa cha habari kiko sahihi kabisa...

Biashara ni ushindani...na hapa clouds wataelewa sasa.
 
Mjadala wangu haujajikita kwenye timu(Acha kubadilisha magoli),ila wewe mwenyewe na mitazamo yako ya kijinga,zamani kulikuwa na matamasha kibao tu (Kwafujo dj's walikuwa wanaandaa matamsha mengi tu),lkn sijasikia ujinga na upuuzi kama huu uliouweka hapa wewe(Refer kichwa cha habari yako ) .Ila leo WCB wanaanda tamasha lao unasema wanashindana na CMG,si upuuzi,kwa hiyo kila afanyapo WCB anashindana na CMG.
Mpumbavu ni wewe ambaye unataka mtoa mada aandike vile wewe unataka...

Anzisha uzi wako.
 
Mnachobishana ni nini? yeye kataja Wasafi vs Clouds kwa sababu level za wasafi kwa sasa ni za Clouds so wanadeserve kucompete...WCB hawawezi kushindana na EFM ambao nguvu yao ndogo sana ni sawa na kuichukua BBC uipambanishe na Le Mutuz Media which is not fair...!!! but alichoteleza mtoa mada ni kichwa cha habari...
hahahaa daah kwenye BBC vs LEMUTUZ ndo nimepapenda
 
Mpumbavu ni wewe ambaye unataka mtoa mada aandike vile wewe unataka...

Anzisha uzi wako.
Sawa mpumbavu ww, hii jf kila mtu yupo free kuchangia na kukosoa, umesikia ww mpumbavu, kwa hiyo usinichagulie uzi wa kuchangia, umesikia ww mpumbavu na kesho akileta uzi mwengine kama una mapungufu nitaukosoa, umesikia ww mpumbavu, bundle na nunua mimi mwenyewe kwa hiyo nitachangia nitakavyo hata kama mpumbavu kama ww hupendi.
 
Is this what you call Creativity?
Inategemea wewe umeliangalia from what perspective!
Binafsi naona ni creativity, dogo kaona ana fan base kubwa.
Akaamua aje na idea ya kutumia fan base hiyo kuingiza kipato extra.
Hapo atapata wadhamini kibao na itasaidia wasanii wengine ambao hawapo WCB kujipatia maslahi mazuri.
Unlike kama ujira wanao pata wakienda kuperform kwenye matamasha ya Fiesta ambayo wasanii huambulia vilaki tatu tatu.
Diamond sio mbinafsi anajua kuhustle kwenye industry ni nini.
Nadhani undergrounds watapata platform pia kwenye matamasha hayo.
Sasa kama hiki sio creativity sijui ulitaka agundue darubini ya kumuona Mungu ndio ukubali!?!?
 
Safi sana mondi unamdomo mkubwa na akili kubwa bora mawingu wapate mke mwenza ili akili itulie walikuwa wananyonya na kuharibu wa sanii Godzila simsikii kabisa wakati dj fett alimpa sana promo ila jamaa tangu fet aondoke na yeye kazima ziiii
 
Back
Top Bottom