Diamond aitwa TRA kuhojiwa

Hawa jamaa hata wakistukia tu paka wako anatoa maziwa wanakuita ili wakuulizie kulipa ushuru bila hata kuuliza umefanyaje
 
Sawa take Hiyo!!!!!!!

Alifikiri wasanii wenzake kukaa kimya kuhusu utajiri wao ni sababu gani?
Wapo wanaopata hela nyingi Hata kumzidi lakini huwezi kuwaona magazetini au mitandaoni kwa kihofia kuandamwa.

Acha dozi imuingie pole pole ndio Kesho asipost mambo ya kusifia biashara asiyolipia ushuru!!!!!
UNAHISI KUKWEPA KULIPA KODI NI UJANJA TAFAKARI CHUKUA HATUA
 
Hahahaaa pole simbaaaa,lazima ing'ate pote banaaaa

Fanya mchakato tumege walau tukanunulie madawa kiulaiiniiii

Na hayo ndo mambo tuliyoyataka ya msanii kutoboa na serkal kupata makato yake
 
Wanaofata sasa ni BANDARI watamuita wamuhoji kwann Ile ROLLS ROYCE yake haijafika mpka leo MADALE
 
Back
Top Bottom