Diamond aibuka na kupinga wimbo wake kufungiwa, asema nchi ina wenyewe

Ni vizuri zaidi mngeanza kudeal na waliotoa ruhusa ya kushuti kama mnaona kuna kosa limefanyika.
Hilo sio jukumu la BASATA su yoyote aliyefungia..
Wanadeal na kazi za sanaa ( ikiwemo maudhui,)
Ikiwa na maana Tata utafungiwa tu.....
Hayo ya vibali hayawahusu.
Hawakupewa kibali cha kuleta content zenye ishara ya kukejeli dini, walipewa kibali cha kushoot video kanisani.
 
kakosea ndio ujumbe wa kile kipande sio mzuri kwetu sie wakristo Yeye ata akipinga ajuue kabisaaaaaa hapo kakosea.
 
Kwani huko Kanisani wahusika waliomruhusu kushuti wao ni dini gani?
Hapa ndipo utakapoona Waislam wako makini sana katika imani yao hata kwa chembe ya pesa. Utakuta kiongozi wa kanisa kaambiwa kabisa kuwa tunataka kufanya hivi na hivi na tutalipa sh kadhaa kwa hili. Kiongozi kaona aisee fresh lete tu mtonyo. Nenda na ela yoyote kwa kiongozi wa msikiti hata iwe nyongi kiasi gani lakini katu hawezi kukuruhusu kufanya upumbavu kwenye msikiti wao.

Nadhani kuna la kujifunza kwa wakristo kwa ujumla kuwa lindeni misingi ya imani yenu. Mkiwa serious na imani yenu hakuna mpuuzi yeyote atakaye thubutu kuichezea imani yenu. Ataingiwa na uoga
 
Anakuwa naunga mkono laana ya kutundikwa msalabani.
Yesu Kristo alienda msalabani ili mimi na wewe tusihukumiwe. Alifanyika laana ili sisi tuwe baraka. Kupitia yeye tunao uzima wa milele.

Kuna siku utauhitaji sana msamaha wa Yesu Kristo na itakuwa too late kwako. Nakuombea rehema za Mungu na roho ya unyenyekevu ili uipokee neema hii wakati ukiwa bado na nafasi.

Asubuhi iliyo njema inakuja, hapo wote waliomkubali Bwana Yesu watakapokuwa pamoja naye milele mbali na shida na mateso ya dunia hii.

Yesu anakupenda sana FaizaFoxy
 
Hapa ndipo utakapoona Waislam wako makini sana katika imani yao hata kwa chembe ya pesa. Utakuta kiongozi wa kanisa kaambiwa kabisa kuwa tunataka kufanya hivi na hivi na tutalipa sh kadhaa kwa hili. Kiongozi kaona aisee fresh lete tu mtonyo. Nenda na ela yoyote kwa kiongozi wa msikiti hata iwe nyongi kiasi gani lakini katu hawezi kukuruhusu kufanya upumbavu kwenye msikiti wao.

Nadhani kuna la kujifunza kwa wakristo kwa ujumla kuwa lindeni misingi ya imani yenu. Mkiwa serious na imani yenu hakuna mpuuzi yeyote atakaye thubutu kuichezea imani yenu. Ataingiwa na uoga
Hadi sasa viongozi wote wakanisa walioruhusu upuuzi huo wamesimamishwa kazi kupisha uchunguzi
 
Wakati mwingine wakafanyie hayo maigizo yao kwenye misikiti! Kwa nini kanisani kila siku? Yeye na huyo mwezi wake, wote ni waislam! Iweje wasiende kufanyia hiyo shooting msikitini, au kwenye Madrasa?

Hongereni sana BASATA. Angekuwa ni Mkristo akaenda kufanya hayo maigizo msikitini, muda huu zingekuwa kelele nchi nzima.
Msikitini huingii mpaka uwe na udhu(isiwe na janaba)..msitini huwa hapaimbwi Wala kupigwa vinanda,sini yao ni kuimba kwaya,tangu lini kwaya ikaimbwa msikitini!!?
 
Wala ishu sio kushutia kanisan angekuwa mkristo wasingemfungia. ..Na wakristo hawana shida Na anayeshoot kanisan ...
Ishu Ni wakristo wakishutia misikitini inajulikana waislam wataandamana....kwann diamond muislam afanyie hvo kanisani?
Msikitini una taratibu zake za kuingia,so mkiristo kwa kuwa taratibu hizo hazijui(udhu) Basi hawezi kuingia
 
Back
Top Bottom