The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 18,887
- 54,019
Sijasema kua hilo liwe jukumu la Basata bali nawaongelea nyie mnaomlaumu Diamond,ndio maana nimewashauri kua mgeanza na waliomruhusu Mondi kushuti hiyo clip Kanisani.Hilo sio jukumu la BASATA su yoyote aliyefungia..
Wanadeal na kazi za sanaa ( ikiwemo maudhui,)
Ikiwa na maana Tata utafungiwa tu.....
Hayo ya vibali hayawahusu.
Hawakupewa kibali cha kuleta content zenye ishara ya kukejeli dini, walipewa kibali cha kushoot video kanisani.