Nadhan kweli vjana maadili yamewaishia had mnapendekeza kahaba aliyefia kwny ngono kisa mziki agombee jimbo tena UBUNGO mnawatusi wanajimbo hilo kwan alikosa kwao na hlo domo ndo aje kugombea
DAR aende kwao akawaongoze weu na wachawi wenzake huko! And lets thnk be4 poxtn' something online as it makes the poster look unwise and more than insane plus unsound employ your knowledge to judge on things guyz!EDIUS DEUS UDSM (LAW)
Hawa jamaa wamepewa kichwa sana.wanaonea sana raia kisa ni wanajeshi.mbona kazi zote ni muhimu na tunategemeana kwa vingi.? Na hata ukienda kushitaki wanalindana na huna haki utayopata. Kwani wao wana nini zaid.? KaRaia wajiandae kwa mkong'oto wa haja huo mtaa.
Halafu kumbe mchumba tu!!!
Kawaambie CHADEMA huu ujumbe
Diamond-CCM hapiti. CCM Ubungo hata mkimsimamisha nani na M4C wakasimamisha jiwe lililoandikwa M4C watu watachagua jiwe.Napendekeza Mwanamuziki Diamond agombee ubunge jimbo la ubungo uchaguzi ujao.
Ubungo kuna vijana wengi wa mitaani ambao Diamond ana uwezo mkubwa si tu wa kuwashawishi wampe kura lakini ana uwezo pia wa kuwasaidia vijana wengi kwa kuwa yeye mwenyewe katokea maisha ya mtaani hadi kufikia hapo alipo kung`ara kimataifa.
Na pia ni kijana aliyekomaa kimikakati ya kimaisha ni rahisi kufunza vijana wenzie.
Napendekeza Mwanamuziki Diamond agombee ubunge jimbo la ubungo uchaguzi ujao.

Acha hizo jimbo la ubungo lingekuwa limejaa wasomi lingemchagua Mnyika kuwa mbunge ambaye hajui hata digrii ni kitu gani?
Napendekeza Mwanamuziki Diamond agombee ubunge jimbo la ubungo uchaguzi ujao.
Ubungo kuna vijana wengi wa mitaani ambao Diamond ana uwezo mkubwa si tu wa kuwashawishi wampe kura lakini ana uwezo pia wa kuwasaidia vijana wengi kwa kuwa yeye mwenyewe katokea maisha ya mtaani hadi kufikia hapo alipo kung`ara kimataifa.
Na pia ni kijana aliyekomaa kimikakati ya kimaisha ni rahisi kufunza vijana wenzie.
Napendekeza Mwanamuziki Diamond agombee ubunge jimbo la ubungo uchaguzi ujao.
Ubungo kuna vijana wengi wa mitaani ambao Diamond ana uwezo mkubwa si tu wa kuwashawishi wampe kura lakini ana uwezo pia wa kuwasaidia vijana wengi kwa kuwa yeye mwenyewe katokea maisha ya mtaani hadi kufikia hapo alipo kung`ara kimataifa.
Na pia ni kijana aliyekomaa kimikakati ya kimaisha ni rahisi kufunza vijana wenzie.
Ana cheo nasikia ni raisi wa wasafiHafai hata kuwa mwenyekiti kitongoji!!!