Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,604
- 20,058
Wale na hao wanaoongelewa hapo huoni tofauti??? Au sababu wote ni wanawake?Hii unaikumbuka maana kule ulikuwa unawaaukitikia hapa unasemaje jitafakari

Ungeandika wasanii wakubwa wachukuliwe hatua ingependeza zaidi,sasa umeona kumtumia diamond kuelezea wivu wako itakuwa njema sana,diomond hana akili ndogo kama zako na wala hautakuja kufanana nayeHello floks.naandika Uzi huu nikiwa na hasira sana juu ya kuporomoka kwa maadili hapa Tz.wasanii kama diamond,alikiba,wenye mambo ya kihuni huni kama wema sepetu,gigy,na mavideo vixing wengine ni lazima wachukuliwe hatua kali kama hizo.Tulitegemea wasanii wakubwa waweze kutusaidia kushape nchi lakini utakuta wao ndo wakwanza kuharibu maadili ya kitanzania.
Diamond kufanya collabo na watu wa marekani kusikyfanye ukengeuke,mnakaa uchi kwenye video zenu,mnadhalilisha wanawake .utakuta mwanamke yuko uchi wa mnyama na matako bandia!!why ,for what??.mdogo angu mond you have to change otherwise you will be in trouble.
Mimi ningependekeza hatua zifuatazo zichukuliwe
1) Waitwe wote waonywe na wasaini kiapo cha kutokurudia huu ujinga na udhalimu wa maadili.
2)Wafutiwe leseni zao za biashara kabisa, bora wakalime
3) Akaunti zao za instagram,facebook,twiter nk ZIFUTWE PERMANENTLY.
4)WAFUKUZWE NCHI ILI WAKAFANYE UHUNI WAO HUKO WAENDAKO.
Ngoja mawakil wajeHello floks.naandika Uzi huu nikiwa na hasira sana juu ya kuporomoka kwa maadili hapa Tz.wasanii kama diamond,alikiba,wenye mambo ya kihuni huni kama wema sepetu,gigy,na mavideo vixing wengine ni lazima wachukuliwe hatua kali kama hizo.Tulitegemea wasanii wakubwa waweze kutusaidia kushape nchi lakini utakuta wao ndo wakwanza kuharibu maadili ya kitanzania.
Diamond kufanya collabo na watu wa marekani kusikyfanye ukengeuke,mnakaa uchi kwenye video zenu,mnadhalilisha wanawake .utakuta mwanamke yuko uchi wa mnyama na matako bandia!!why ,for what??.mdogo angu mond you have to change otherwise you will be in trouble.
Mimi ningependekeza hatua zifuatazo zichukuliwe
1) Waitwe wote waonywe na wasaini kiapo cha kutokurudia huu ujinga na udhalimu wa maadili.
2)Wafutiwe leseni zao za biashara kabisa, bora wakalime
3) Akaunti zao za instagram,facebook,twiter nk ZIFUTWE PERMANENTLY.
4)WAFUKUZWE NCHI ILI WAKAFANYE UHUNI WAO HUKO WAENDAKO.
Hatuko karne ya 19 sasa hivi...Ukiona wanayofanya yanakukera usiwafuatilie, Maadili my footHello floks.naandika Uzi huu nikiwa na hasira sana juu ya kuporomoka kwa maadili hapa Tz.wasanii kama diamond,alikiba,wenye mambo ya kihuni huni kama wema sepetu,gigy,na mavideo vixing wengine ni lazima wachukuliwe hatua kali kama hizo.Tulitegemea wasanii wakubwa waweze kutusaidia kushape nchi lakini utakuta wao ndo wakwanza kuharibu maadili ya kitanzania.
Diamond kufanya collabo na watu wa marekani kusikyfanye ukengeuke,mnakaa uchi kwenye video zenu,mnadhalilisha wanawake .utakuta mwanamke yuko uchi wa mnyama na matako bandia!!why ,for what??.mdogo angu mond you have to change otherwise you will be in trouble.
Mimi ningependekeza hatua zifuatazo zichukuliwe
1) Waitwe wote waonywe na wasaini kiapo cha kutokurudia huu ujinga na udhalimu wa maadili.
2)Wafutiwe leseni zao za biashara kabisa, bora wakalime
3) Akaunti zao za instagram,facebook,twiter nk ZIFUTWE PERMANENTLY.
4)WAFUKUZWE NCHI ILI WAKAFANYE UHUNI WAO HUKO WAENDAKO.
AiseeSasa matako yao bandia wewe yanakuhusu nini? For his career mwacheni tu. Kama mnaona wivu na wewe karekodi ya kwako
aiseeHaya mama jesca wamekusikia ....
Unapendezwa au kufurahi kuona matako na matiti ya mwanamke hadharani? Kumbuka ndo alokuzaa.acha mawazo ya karne ya 5 .ni lazima tutetee maadili yetu ipasavyo
Ukiacha matamshi ya Trump,kuhusu Africa,na watu weusi,jambo moja la kushangaza sana,ambalo wa Africa,na Wa Arabs,huwa wanalishupalia sana,na kupoteza muda mwingi kulifatiria,ni watu wanachoamua kufanya na miili yao,ama kuwa mashoga,ndoa za jinsia moja,mavazi watu waamuayo kuvaa,mafupi,au yanayoonyesha maungo yao,Hello floks.naandika Uzi huu nikiwa na hasira sana juu ya kuporomoka kwa maadili hapa Tz.wasanii kama diamond,alikiba,wenye mambo ya kihuni huni kama wema sepetu,gigy,na mavideo vixing wengine ni lazima wachukuliwe hatua kali kama hizo.Tulitegemea wasanii wakubwa waweze kutusaidia kushape nchi lakini utakuta wao ndo wakwanza kuharibu maadili ya kitanzania.