Diamond aendelea kumkimbiza Rayvanny

sinza pazuri

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
2,528
7,381
Msanii namba moja Tanzania Diamond Platnumz anaendelea kumkimbiza msanii namba mbili Tanzania Rayvanny.

Licha ya Diamond kutoachia wimbo hivi karibuni, bado anaendelea kumpa wakati mgumu mpinzani wake halisia kimuziki Rayvanny.

Pia tunaona anajitokeza mara zote kwenye charts msanii chipukizi ila mwenye kufatiliwa sana aitwae Macvoice, ambae wataalam wa kiwanda cha burudani wanasema investment yake imelipa.

IMG_20211201_114553.jpg
 
Omekomaa kuandika thread ya views kumbe muda huo umeachiwa chungu cha maragee uview na dadako.
 
Inakuwaje mtu anajiita king, kaachia na album juu lakin bado anapitwa na kadada ambako hakana hata tetesi za kuwa na album

Kwa mtindo huu nawaonea huruma sana kina ki2ga na tommy flavour ambao hadi mjukuu wa usafini kawapiga gepu, tena kubwa sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom