Diamond achezea kichapo iringa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Diamond achezea kichapo iringa.

Discussion in 'Entertainment' started by ramson34, May 25, 2010.

 1. r

  ramson34 Senior Member

  #1
  May 25, 2010
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  DJ Muba ni DJ maarufu anayetikisa mkoa wa Iringa na Tanzania ila ni DJ mpole aliyetaka kuzichapa na msanii chipukizi Diamond

  [​IMG]

  Mshindi wa tuzo za Kilimanjaro 2010 Diamond (jukwani )akiwajibika katika jukwaa la Voda com Miss Iringa kabla ya kupokea kichapo nje ya ukumbi wa st.dominic Iringa baada ya kutaka kumpiga DJ Muba na msanii wa vichekesho Athuman Mussa a.k.a Mwalubadu .  Diamond alifikia hatua hiyo ya kufanya fujo kubwa katika ukumbi huo baada ya kumaliza kuimba na kushuka jukwani na akiwa nje ya ukumbi huo alimtukana matusi ya nguoni kwa kutumia ishara ya kidole Mbarouk Salum maarufu kama DJ Muba ambaye alikuwa akipinga muziki katika ukumbi huo .  Hatua ya msanii huyu kumtukana DJ Muba ilionyesha kuwakwaza mashabiki wa DJ huyo ambao wamekuwa wakimtegemea katika tasnia ya burudani ndani ya mkoa wa Iringa kwa kupitia kituo cha Radio Ebony Fm na ukumbi wa club V.I.P wa mjini hapo hali iliyopelekea mashabi hao kuanza kumshambulia msanii huyo Diamond kwa kumwita mchanga sana katika sanaa hiyo na kuwa tuzo ya Kilimanjaro isimfanye matawi ya juu pamoja na kumweleza ukweli kuwa DJ Muba ni maarufu mara 100 kwake hivyo asitake kujifanyanisha na DJ huyo kauli zilizomkwaza msanii huyo Diamond.
   
 2. Pengo

  Pengo JF-Expert Member

  #2
  May 25, 2010
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Off points!
   
 3. Tonge

  Tonge JF-Expert Member

  #3
  May 25, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kumbe hajachapwa...., matusi ndio salamu mkuu siku hizi.
   
 4. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #4
  May 25, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  arghhhhhhhhhhhhhh!

  Mnatuchafulia jina la Iringa nyie wote na mleta maada!
   
 5. saitama_kein

  saitama_kein JF-Expert Member

  #5
  May 25, 2010
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Habari hii ni ya uwongo....Diamond mwenyewe amepinga habari hizo (source clouds fm)
   
Loading...