Diamond achaguliwa kwenye "we are the world "Africa

Ukishatumia muda wako kumchukia mwenzio na kumjengea majungu wakti anaendela na mafanikio ni kupoteza muda wako.......ndicho walichokosea mtaa wa pili!.....inaniuma kwa mwanamuziki nzuri kama alikiba aonekane kama mwanamuziki wa fiesta tu! Mimi nawapenda wote lkn yule mwenye juhudi niyo atakula embe lilioiva! Kujaza uwanja wa iringa peke yako si mchezo! Mwacheni dai ana juhudi katika kazi! Ushahuri kwa alikiba hao wanaokuzunguka wanakupotosha kuhusu mabeeF, show love utaona mambo Yanavyoenda,

Hawa sikio la kufa unadhan wanaelewa bas! Acha tu waendelee kupiga mayowe, thy r not worth it!!!
 
I don't like diamond personally sijui kwa nini (ila itakuwa ni wivu tuu kwa kumchukua mtt wema wakato nikiwa ktk process za kummiliki), ila katika simu yangu ina nyimbo 36 kati ya hizo za diamond ziko 4, Ali kiba 2, Weusi 2, barnaba 2 zilizobaki zote pop
za mbele
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom