Diamond achaguliwa kwenye "we are the world "Africa

Hahaha muzeee wa project a.k.a msaniii bora East africa A.k.a ngazi ya waliopotea amechaguliwa kwenye Le project mpya ya We are the world africa
Aaaaaaaaaaaahh, teeeeenah? Sio kweli, kiki tu hizo kama kawaida yake!
 
Tunafurahi kumuona akisonga mbele, huko kwenu vipi?he he he
Huku kwe2, haaaaaa, msitushe bhana... Mwana Dar es salama imegongwa ndani ya jumba la BBA lakin Kiba mwenyewe kachomoa kwenda, c unajua tena hapendagi show-off?!
 
Huku kwe2, haaaaaa, msitushe bhana... Mwana Dar es salama imegongwa ndani ya jumba la BBA lakin Kiba mwenyewe kachomoa kwenda, c unajua tena hapendagi show-off?!
Thubutuuu huko hatuchezi kidela ni mwendo wa ngololoo
 
Aaaaaaaaaaaahh, teeeeenah? Sio kweli, kiki tu hizo kama kawaida yake!

Hahahahash Haya Bisha na Hii picha sasa
 
Attachments

  • 1417239335505.jpg
    1417239335505.jpg
    67.1 KB · Views: 188
Ukishatumia muda wako kumchukia mwenzio na kumjengea majungu wakti anaendela na mafanikio ni kupoteza muda wako.......ndicho walichokosea mtaa wa pili!.....inaniuma kwa mwanamuziki nzuri kama alikiba aonekane kama mwanamuziki wa fiesta tu! Mimi nawapenda wote lkn yule mwenye juhudi niyo atakula embe lilioiva! Kujaza uwanja wa iringa peke yako si mchezo! Mwacheni dai ana juhudi katika kazi! Ushahuri kwa alikiba hao wanaokuzunguka wanakupotosha kuhusu mabeeF, show love utaona mambo Yanavyoenda,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom