playboy babu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 2,661
- 1,581
Una bwabwaja tu[emoji122]Domo ndo kawaida yake. Hana wimbo wa ubunifu wake
Aache tuuKijana kapambane na alikiba nasikia anaacha mziki huko.
Una bwabwaja tu[emoji122]
Vijana hamna elimu ya mziki kabisa mmekalia ushabiki maandazi..idiots!!..hivi mmefikia hatua mpaka sampling nayo mnahoji!?..ok fine lets go Alikiba kimasomaso ni yake? mbona mambo ya kawaida sana ila kwakuwa mna chuki binafsi mnajitia wajuaji..hivi unajua wimbi wa bryan Adams "everything i do" umefanyiwa sampling,na covers as well Remake ngapi?Baba lao ni copy ya ngoma ya Naira Marley inaitwa Soapy go YouTube andika soapy by Naira Marley utaona wizi wa huyo boss wa WANAFKI CLASSIC BABY
mkuu mapenzi yasizidi kiasi cha kushindwa kukubali msanii anapokosea....diamond anakosa creativity na sio mara ya kwanza anacopy nyimbo za watuVijana hamna elimu ya mziki kabisa mmekalia ushabiki maandazi..idiots!!..hivi mmefikia hatua mpaka sampling nayo mnahoji!?..ok fine lets go Alikiba kimasomaso ni yake? mbona mambo ya kawaida sana ila kwakuwa mna chuki binafsi mnajitia wajuaji..hivi unajua wimbi wa bryan Adams "everything i do" umefanyiwa sampling,na covers as well Remake ngapi?