Diamond, acha wizi wa nyimbo

Diamond, acha wizi wa nyimbo

.s2kizzy ni mshikaji wake na producer Wa soapy ya naira Marley jamaa anaitwa REXXIE , S2 kizzy alimuomba airudie iyo bit kivingine , rexxie akakubali , mond alienda studio kwa s2kizzy akakuta hii bit akaipenda ndiyo hakamuomba s2kizzy aitungie vocal ndio kuto hii nyimbo BABALAO ,

#source=s2kizzy

msiwe mnakurupuka na vitu msivovijua
 
Baba lao ni copy ya ngoma ya Naira Marley inaitwa Soapy go YouTube andika soapy by Naira Marley utaona wizi wa huyo boss wa WANAFKI CLASSIC BABY
Vijana hamna elimu ya mziki kabisa mmekalia ushabiki maandazi..idiots!!..hivi mmefikia hatua mpaka sampling nayo mnahoji!?..ok fine lets go Alikiba kimasomaso ni yake? mbona mambo ya kawaida sana ila kwakuwa mna chuki binafsi mnajitia wajuaji..hivi unajua wimbi wa bryan Adams "everything i do" umefanyiwa sampling,na covers as well Remake ngapi?
 
mkuu mapenzi yasizidi kiasi cha kushindwa kukubali msanii anapokosea....diamond anakosa creativity na sio mara ya kwanza anacopy nyimbo za watu
 
Back
Top Bottom