Hapa tunaongelea kichwa cha Habari pale juu ( Dialo amlipua Lowasa ) yaani Maana yake Dialo ameanzisha choko choko kwa Lowasa hivyo jukumu letu ni kumtetea lowasa kwani yeye anaandamwa sana, Membe yupo busy kusaka wana-siasa dhaifu ili awachonganishe na Lowasa Kama alivyofanikiwa kumshika Akili Dialo na amenasa kwenye mtego wake Kirahisi sana, Kumbuka ni watu wengi wametangaza nia ! iweje watu wakomae na Lowasa pekee ? Tanzania hii Hakuna aliye Msafi kiasi cha kumnyoshea mwenzake kidole.