Diallo amlipua Lowassa

Mkuu sina cha kuongeza kwenye coment zako naungana na wewe kabisa huyu mzee anamadoa mengi sana halafu mimi nasema kila siku hawa waliojitangaza kugombea urais inawezekana asipatikane hata mmoja kuwa Rais jk siyo kama tunavyodhani ataleta mgombea mwenye uadulifu siyo wezi kama lowasa.
 
Hivi Diallo ni diwani ama Mbunge jimbo lolote?kimsingi mm kwa ufahamu wangu mdogo huyu mtu hayupo kwenye siasa,sielewi kwanini Lowassa amuattack kama anavyodai?mbona hana ishu yoyote toka october 2010??
 
Dialo alipaswa kuchanganya akili za kuambiwa na Membe achanganye na zake kwanza atafakari kwa makini sana kabla ya kumuunga Mkono kwenye Taasisi yake ya Kumchafua Lowasa kupitia mitandaoni, Dialo uelewa wako bado ni Mdogo sana ni mtu mwenye mapepe aking'ang'ania kitu huwa hashauriki, ikumbukwe wakati wa Uchaguzi alichukua pesa kwa Mzee wa IPP ili amsaidie Wenje kumshinda Masha na kweli alimsaidia hadi akashinda Ubunge licha ya Kuwa wenje ni CDM na Dialo ni ccm lakini alifanya Umamuruki wa Kimafia Kama anavyofanya sasa baada ya kupewa Mgao wa Pesa za Marehemu Gadafi na Membe. Dialo si mtu wa kumwamini hata chembe ni kigeu geu ,usishangae kesho ukaja kumsikia kahamia tena kwa Lowasa .
 

kati ya id zenye michango ya hovyo hapa ndani ni hii. mnataka kuendelea nchi iendelee kukaa ktk auto pilot?? bila kuangalia nani atatawala ama kuongoza kuanzia dec.2015 napenda kukujulisha kwamba chaguo lolote la Kikwete hata kama atakua malaika atashindwa! jipange kuanza kuishi maisha ya kujitegemea kwa kufanya kazi kwa bidii badala ya kuishi kwa kutegemea fitina za siasa!
 

soma post yangu mpaka mwisho..mjadala wewe unataka kuunganisha na Membe kwann?? hapo aliyesemwa ni Lowassa that's my point tutoe majibu yanayohusiana na hoja!!!Neway hilo jina lako linatosha kuwa pervert.!!
 
Hivi Diallo ni diwani ama Mbunge jimbo lolote?kimsingi mm kwa ufahamu wangu mdogo huyu mtu hayupo kwenye siasa,sielewi kwanini Lowassa amuattack kama anavyodai?mbona hana ishu yoyote toka october 2010??
Membe anamtumia ili kuendeleza choko choko zake kwa Lowasa Pia anatumia Faida ya kumiliki vyombo vya Habari kujitangaza ingawa ulingo wa siasa wananchi walimkataa na kumpa Kinda Ubunge,wenzake akina Mengi wanajulikana ni wapinzani wa Lowasa lakini Mzee mengi yupo makini hataki kujiingiza kwenye malumbano ya moja kwa moja ,amebakia Kuwa anawafadhili akina Sita, kigwangwala, mwandosya kimya kimya tu, Hana speed Kama ya Dialo, Lowasa ni Namba ingine watakesha,watazusha,watamchonganisha na kila mtu, lakini mwisho Membe hawezi Kuwa Rais ataishia kusubiri kupelekwa mahakama ya Uhalifu wa kimataifa kwa kosa Kuchukuchia Mapesa ya Marehemu Gadafi ambayo ni mali ya Libya.
 

Mkuu ni kweli kabisa. Namfahamu Diallo kuanzia mwisho wa miaka ya 80 akiwa na nyumba ndogo moja mitaa ya Sea View! Ni mtu bogus na sijui ilikua vipi eti naye akapewa uwaziri mpaka Wizara nyeti kama Utalii na Maliasili! Anaye mtumia kama jembe naye ni juha! Kama ni Team Membe sishangai Hizi ndizo dizaini zake! Watu vigeugeu,watata, wafitini,majungu na wachonganishi!
 
soma post yangu mpaka mwisho..mjadala wewe unataka kuunganisha na Membe kwann?? hapo aliyesemwa ni Lowassa that's my point tutoe majibu yanayohusiana na hoja!!!Neway hilo jina lako linatosha kuwa pervert.!!

Lowasa anaandamwa na mtandao wa membe Kama haujui sasa tambua kuanza sasa, hoja zipi ? Hizo hoja za umbea nani azijadili? Ukitaka kujadili hoja jadili kwa wote yaani Dialo aliyemtuma Dialo ambaye ni membe, kisha jadili wote waliotangaza Nia kwani na wao wana kasoro, mapungufu na madhambi Lukuki, iweje Lowasa peke yake ndiye anashambuliwa kana kwamba hao wanaomshambulia ni Mitume hawana Dhambi, usijitoe fahamu ukajifanya husikii huambiwi ! Hizo hoja zako zi-balance kwa wote usiegemee upande mmoja tu wa lowasa.
 
Sasa huyu jamaa naona afanye biashara tu...he seemz to be a BIGFISH in a LITTLEPOND.
 
Alipata uwaziri kwa njia za kishirikina baada ya kutotimiza Ahadi kwa mganga wake ambapo alikuwa amemwahidi Vingi Yule mganga akatengua Mitego yake ndipo Dialo akafukuzwa uwaziri na kukosa Ubunge tena alishindwa na mbuge kijana Mdogo ambaye alipata msaada wa wapambe wa dialo ambao nao alikuwa kawaliza hapo awali.
 
Hao ni Vijana wa Membe wapo busy kwa masaa 24 kubuni uongo na uchonganishi , wanawasaka wanasiasa Dhaifu kisha wanawajaza Uongo mwingi wa kuwachonganisha na lowasa , wenye Akili ndogo Kama Dialo wamewabamba, lakini wajanja huwa wanawashitukia haraka.
 
ASEHH..."food for thought"

Dialo Hana mfano wa kuigwa kiasi cha watu kukaa waamini anachokizungumza, Dialo si mwadilifu, anapenda Rushwa ya ngono kwa wafanyakazi wake,anapenda michepuko kuliko chakula, Kama alivyo mnafiki kuliko mwanasiasa yeyote Tz, si mtu mwenye msimamo ni kigeu geu sana, yupo after money . Nina imani wale wote wanayoyaamini aliyosema Dialo watajifunza kupitia jukwaa hili.
 
cha kuongeza kipo tena ni vingi sana ! Kwanza umemhukumu lowasa kana kwamba hayo aliyosema Dialo yametoka mbinguni na Dialo ni Mtume. Pili umesahau Kuwa Dialo Binafsi si msafi kiasi cha kuwanyoshea wengine kidole,tatu tambua Kuwa Dialo anatumika tu baada ya kupata mgao wa pesa za marehemu Gadafi kaamua kujitoa fahamu ili kuwafurahisha maboss wake ambao ni wapinzani wakubwa wa Lowasa, Je? Umewahi kujiuliza ni kwa nini Lowasa pekee ndiye anaandamwa? Mbona wagombea wote wana madhambi Yao lakini Lowasa pekee ndiye anasumbuliwa wengine Dialo kawaacha kwa Sababu hajanunuliwa kwa ajili ya kuwachafua wao yeye kazi ni moja kumpakazia lowasa tu.
 
cha kuongeza kipo tena ni vingi sana ! Kwanza umemhukumu lowasa kana kwamba hayo aliyosema Dialo yametoka mbinguni na Dialo ni Mtume. Pili umesahau Kuwa Dialo Binafsi si msafi kiasi cha kuwanyoshea wengine kidole,tatu tambua Kuwa Dialo anatumika tu baada ya kupata mgao wa pesa za marehemu Gadafi kaamua kujitoa fahamu ili kuwafurahisha maboss wake ambao ni wapinzani wakubwa wa Lowasa, Je? Umewahi kujiuliza ni kwa nini Lowasa pekee ndiye anaandamwa? Mbona wagombea wote wana madhambi Yao lakini Lowasa pekee ndiye anasumbuliwa wengine Dialo kawaacha kwa Sababu hajanunuliwa kwa ajili ya kuwachafua wao yeye kazi ni moja kumpakazia lowasa tu
 
Simiyu yetu a.k.a Lizaboni au chabruma au mwenegoha au ray jay nk , huyu jamaa ni Adui namba moja wa Lowasa , yeye kaamua kuegemea Upande mmoja tu wa Lowasa , haambiwi hasikii kajitoa fahamu zote kayakariri maagizo ya membe kwa 100% , Ushauri bure : jaribuni kubalance usiegemee upande mmoja pekee, waliotangaza Nia wapo wengi na wote wana Madhambi Yao hata Dialo Pia amejaa Dazani ya vioja , hapa Tanzania Hakuna aliye msafi kiasi cha kuwanyoshea wengine kidole.
 
Kuelekea uchaguzi mkuu 2015 kazi hipo. Ccm mtauana. "
 
Dialo yamemshinda ya kwenye kampuni yake kaamua ajimalizie stress kwa Edo...fyuuu....
Kwanza akawalipe wafanyakazi wake mishahara yao ya miezi minne wanayoidai kampun kisha ndio afungue bakuli lake
 

ndugu yangu unanichukia bure mm simjui Diallo wala sina haja naye!!mm nina haja na Tanzania yangu basi. hata kesho mtu akileta uzi wa membe au wa diallo nitacomment impartially. mi naamini kwenye ujamaa na kujitegemea pamoja na bidii zangu mwenyewe hivyo sijipendekezi kwa yeyote..wewe endelea kulea hayo madhambi ila usituhukumu na sie tusio na hatia..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…