Dhumuni la kutafuta mpenzi

Dhumuni kubwa ni kutafuta mtu wa kukutunza na kukuweka mjini ukingaaa na kumeremeta. Madhumuni madogo ni awe anakufurahisha, mnashirikiana, mnapendana na kuheshimiana.
 
He he he, kuna ile 'seven commandment'
Nilicheka hadi machozi Nkem anavyotolewa roho na binti zake

"you call me useless, after giving you six children, now you call me useless, idiot"
she is pre "gnant"

Aisee yaani Nkem huwa ananimaliza yaani.
 
Kuwa na mwenzio ambae mtashirikiana..raha..shida..huzuni..na pia kuwa na msaidizi ambae mtashauriana..elekezana na mengne meeeengi!!!
 
Back
Top Bottom