Dhumuni la chapa "666"

Kwa maelezo yako kuna kikundi tu ndio kinaweza kusoma na kuelewa biblia kwa sababu hicho kikundi Mungu amekijaalia kuelewa , nakuuliza swali mimi ambaye sio katika sehemu ya kikundi hicho nikiisoma biblia naweza kuielewa au siwezi kuielewa ?
Vipi nikiwa sio miungoni mwahiko kikundi nitaukumiwa kwa sheria hipi ikiwa akutaka mwenyewe nijue hiyo kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi imani za enzi za zama za mawe za kati bado zipo tu?

Tafuta hela, acha kusingizia imani zisizo na application. Matajiri wa Marekani ndio wanakununulia mpk chandarua halafu unalaumu source yao ya pesa? Hujui Zeff Bezos kama biashara ya Amazon inamlipa vp? Wht abt Bill Gates ma Microsoft?

Tusake hela, imani zisitupotoshe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ata hili unataka tulitolee mifano , Mungu mbaguzi ndio maana aliwapendelea Waisrael kuliko watu wengine , mbona liko wazi
Kawapendelea wapi?? Kibiblia mbona neema ipo kwa watu wote. Hapo mwanzoni according to bible dunia nzima ilikuwa inamuabudu Mungu rejea Adam na Noah.... Ila baada ya Kuja Nimrod dini za kipagan zikasambaa dunia nzima na wote wakamuacha Mungu alibakia tu Shem na kizazi chake ambako ndio Abraham alitokea.

Hivyo kwa kuwa Abraham alikuwa mwaminifu kwa huyo Mungu yaani YAHWEH ndio akaamua kuweka naye mkataba huu

Mwanzo 12:1-3
1 BWANA akamwambia Abramu, Toka wewe katika nchi yako, na jamaa zako, na nyumba ya baba yako, uende mpaka nchi nitakayokuonyesha;
2 nami nitakufanya wewe kuwa taifa kubwa, na kukubariki, na kulikuza jina lako; nawe uwe baraka;
3 nami nitawabariki wakubarikio, naye akulaaniye nitamlaani; na katika wewe jamaa zote za dunia watabarikiwa.


Kwahiyo Israel ilikuwa great sio sababu ya kupendelewa bali sababu ya kurithi baraka za Abraham.

Lakini hio ilikuwa agano la kale kwa sasa dunia nzima wamekua wana wa Abraham as long as wanafuata imani ya Mungu wa Abraham yaani YAHWEH

Galatia 3
29 Na kama ninyi ni wa Kristo, basi, mmekuwa uzao wa Ibrahimu, na warithi sawasawa na ahadi.

Kwa maelezo zaidi soma huu uzi wangu utapata mbili tatu kuwa Israel haipendelewi bali wote tupo sawa na hta kuwazidi kwa mbali sana kwenye macho ya MUNGU.

 
Kwani mleta mada kakuomba msaada wa hela? Au unajuaje kama ana hela yumkini kukuzidi wewe ambaye bado unazitafuta(maana umesema tusake hela).
 
Cashless society itamrahishishia mwenye chapa ya 666 kutawala dunian atatawalaje sasa ilo ndo swali
.
Sijaelewa hoja.

Chapa ya 666 ndio kitu gani, inamilikiwa na nani, yuko wapi, amekuwa huko tangu lini na atatufikia vipi?
 
Mkuu kama nimekuelewa hv!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbukumbu yangu inaniambia ni 5% ya wamarekani ndio wanamiliki uchumi wa Marekani
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Religion ni cancer kwa maskini was kiafrika..
 
kiroho namba 666 imeshaanza kufanya kazi na ndiyo inayofanya kazi mpaka sasa, ila imani zinatufunga kwa kutupa 'Illusion Hope' kwamba haya mambo yatatokea nyakati zijazo ambapo simba mwenye vichwa saba sijui joka lenye vichwa kumi litatoka baharini.. kwa hiyo waamini wengi wanasubiria hayo mabeast yatokee baharini they can't connect phenomenon of the myth to the reality. Mambo yote yaliyoandikwa kwenye biblia ndiyo yanayendelea now, ila mambo hayo (yaani namba 666) mwisho wake umekaribia ila sio mwisho ule wa dunia kukunjwa kama karatasi ni kiroho. Japo mwisho huo utakuwa destructive utakuwa destructive, 'only the fittest will survive' kama sio kimwili basi kiroho
My spiritual ones know what I mean
lmmortality
"know thyself"
 
Mkiambiwa someni hesabu hamtaki mnakimbia mnataka vitu laini
Ila namba zina maana sana ktk maisha
666 namba of beast
999 namba of God
Kwa hiyo ni hesabu ndogo sana kutokana hapo kuna nguvu mbili zinazopishana nyinyi mnaziita mungu na shetani
 
Mkiambiwa someni hesabu hamtaki mnakimbia mnataka vitu laini
Ila namba zina maana sana ktk maisha
666 namba of beast
999 namba of God
Kwa hiyo ni hesabu ndogo sana kutokana hapo kuna nguvu mbili zinazopishana nyinyi mnaziita mungu na shetani
Sorry, Nakusahihisha, namba 7 ndiyo namba ya Mungu iliotimia na Namba 6 ni namba isiyotimia ambayo inatumika na shetani. Kwahiyo ukisema 777( Maana yake ni Mungu ni Mkamilifu, Mkamilifu, Mkamilifu kwa kuwa aliumba dunia kwa siku 7), ukisema 666(Maana yake Mungu hakutimia, hakutimia, hakutimia ambayo inamuwakilisha shetani). Kwahiyo Shetani kiufupi ni 666, na yeyote afanyaye maovu duniani hakutimia kwahiyo ni 666. Ukiwaza Ushetani hiyo ndio chapa ya 666 kwenye paji la usoni, na ukitenda kazi au kuunga mkono kazi za kiovu Maana yake ni Chapa ya mkononi ya 666. Mwenye hekima na hafaham.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Exactly 100%+
 
Mkiambiwa someni hesabu hamtaki mnakimbia mnataka vitu laini
Ila namba zina maana sana ktk maisha
666 namba of beast
999 namba of God
Kwa hiyo ni hesabu ndogo sana kutokana hapo kuna nguvu mbili zinazopishana nyinyi mnaziita mungu na shetani
Try to rotates those figure clockwise at 180dgrs.
Argument yako iko sawa iwapo utamirror either of the two.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…