Dhuluma ya Zanzibar yatimiza mwaka mmoja

Dhuluma ya Zanzibar yatimiza mwaka mmoja

Angeweza kukinukisha lakini akaamua kulinda amani , hivi unadhani ni wazanzibar wangapi wanaitaka ccm , ni wachache tu , fuatilia uchaguzi wa marudio , vifaru na boti za KMKM zilizidi idadi ya waliojitokeza kupiga kura .
Acha uongo wewe CCM inapendwa kweli na ndo maana tunaongoza nchi, wewe kalia umbea
 
Ni kweli alichofanya Jecha ni ubakaji wa demokrasia, ni kitendo haramu na batili.
Na baada ya kubaka hiyo tarehe 25 October, akaahidi kubaka tena, na tarehe akaitangaza.

Cha ajabu aliyebakwa, hakuchukua hatua yoyote kupinga ubakwaji huo, na tarehe ya kurejelewa kwa ubakaji ilipofika, mbakwaji akasusa kwenda eneo la ubakaji wa mwanzo, akafuatwa huko huko aliko na akabakwa tena huku ametulia tuli!.

Batili, isipobatilishwa inageuka halali, na haramu isipoharimishwa inakuwa halali. Uchaguzi wa marudio wa Zanzibar, japo ulisababishwa na sababu batil, na haramu, kwa vile hazikubatilishwa, wala kuharimishwa, then ukageuka ni uchaguzi halali, huru na wa haki, na aliyechaguliwa ni rais halali wa Zanzibar, uchaguzi mwingine ni hadi 2020!.

Pasco
Pasco nadhani wewe ni mgonjwa wa kufikiri. Majnun wa kiwango cha juu. wewe ni kati ya watu wanaopenda dhulma. Ivyo huoni dhulma aliyofanyiwa maalim seif na ccm/ smz/ smt wenzako? ungekuwa Zanzibar wazenj wangekushikisha adabu hasa pale malindi maana inavyoelekea huelewi baina ya haki na batili. Jecha ni firauni, jambazi wa kupora siasa na mbakaji wa demokrasia. sasa wewe pasco unamuamini mtendha dhambi huyu aso haya? mshipa wako wa akil mmoja unnalegalega, fikiri zaidi.
 
Mambo ya Zanzibar hayatuhusu,diplomasia yetu ni ya uchumi tunaangalia maslahi,Seif hatuna maslahi naye ndio maana sisi Tanganyika tulikataa kumkabidhi Zanzibar.
 
Pasco nadhani wewe ni mgonjwa wa kufikiri. Majnun wa kiwango cha juu. wewe ni kati ya watu wanaopenda dhulma. Ivyo huoni dhulma aliyofanyiwa maalim seif na ccm/ smz/ smt wenzako? ungekuwa Zanzibar wazenj wangekushikisha adabu hasa pale malindi maana inavyoelekea huelewi baina ya haki na batili. Jecha ni firauni, jambazi wa kupora siasa na mbakaji wa demokrasia. sasa wewe pasco unamuamini mtendha dhambi huyu aso haya? mshipa wako wa akil mmoja unnalegalega, fikiri zaidi.
Mkuu Kibwengo, ama kweli wewe ni kibwengo mfupi, ila sio kibwengo mfupi tuu bali hata akili yako ni fupi!.

Yote uliyosema kumhusu Jecha ni kweli, jee huyo aliyedhulumiwa amefanya nini? .

Zanzibar Issue: Kwanini watu wanapiga kelele tu bila kuchukua hatua zozote

Imethibitishwa pasi na shaka kuwa ni kweli kabisa, Zanzibar, Maalim Seif na CUF ndio walioshinda

Uhalali wa Rais Dr. Shein Wa Zanzibar ni Kutokana na Uchaguzi Halali, Huru na Wa Haki! .

Ukweli Mchungu Zanzibar: Hakuna Mgogoro Wowote wa Kisiasa, Shein ni Rais Halali, Uchaguzi ni 2020!
Pasco
 
Back
Top Bottom