Dhuluma ya Zanzibar yatimiza mwaka mmoja

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
141,453
Reaction score
283,788
Octoba 28 , 2015 aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi ya Zanzibar , Jecha Salim Jecha , ambaye pia imethibitika kwamba ni mwanachama wa ccm ( maana aliwahi kugombea ubunge kupitia chama hicho na kuangukia pua kwenye kura za maoni ) , alitangaza kufuta uchaguzi uliofanyika octoba 25 mwaka huohuo , na ambao waangalizi wa nje na ndani , wakiwemo pia wagombea wote walidai ulikuwa huru na haki.

Mungu ibariki Zanzibar , Mungu ibariki Cuf , Mungu mbariki Maalim Seif.
 
Ni kweli alichofanya Jecha ni ubakaji wa demokrasia, ni kitendo haramu na batili.
Na baada ya kubaka hiyo tarehe 25 October, akaahidi kubaka tena, na tarehe akaitangaza.

Cha ajabu aliyebakwa, hakuchukua hatua yoyote kupinga ubakwaji huo, na tarehe ya kurejelewa kwa ubakaji ilipofika, mbakwaji akasusa kwenda eneo la ubakaji wa mwanzo, akafuatwa huko huko aliko na akabakwa tena huku ametulia tuli!.

Batili, isipobatilishwa inageuka halali, na haramu isipoharimishwa inakuwa halali. Uchaguzi wa marudio wa Zanzibar, japo ulisababishwa na sababu batil, na haramu, kwa vile hazikubatilishwa, wala kuharimishwa, then ukageuka ni uchaguzi halali, huru na wa haki, na aliyechaguliwa ni rais halali wa Zanzibar, uchaguzi mwingine ni hadi 2020!.

Pasco
 
Kwa kadiri nnavyofahamu , hakuna dhuluma iliyowahi kushinda haki , baadhi ya wahusika tumeanza kuona malipo yao hapahapa , maana viungo vyao vimeanza kunyongorotoka , usicheze na Mungu mkuu .
 
Ni kweli alichofanya Jecha ni ubakaji wa demokrasia, ni kitendo haramu na batili.
Na baada ya kubaka hiyo tarehe 25 October, akaahidi kubaka tena, na tarehe akaitangaza.

Cha ajabu aliyebakwa, hakuchukua hatua yoyote kupinga ubakwaji huo, na tarehe ya kurejelewa kwa ubakaji ilipofika, mbakwaji akasusa kwenda eneo la ubakaji wa mwanzo, akafuatwa huko huko aliko na akabakwa tena huku ametulia tuli!.

Batili, isipobatilishwa inageuka halali, na haramu isipoharimishwa inakuwa halali. Uchaguzi wa marudio wa Zanzibar, japo ulisababishwa na sababu batil, na haramu, kwa vile hazikubatilishwa, wala kuharimishwa, then ukageuka ni uchaguzi halali, huru na wa haki, na aliyechaguliwa ni rais halali wa Zanzibar, uchaguzi mwingine ni hadi 2020!.

Pasco
Pasco ulipozaliwa umeoshwa kwa jimbo gani? Una Ubishi wa Kizanaki hasa!Ikiwa watu milioni 50 wanawadhibiti watu milioni moja(Ratio 50:1)hapo kuna ubakaji au mauaji. UsizungumzIe jambo la kufikirika,hubiri jambo la kuepukika. Jiulize chama gani kinacho historia ya fujo na mauaji Zanzibar? Kuanzia mauaji ya 1964, kuja kwa mauaji ya 2001, kuja kwa fujo za Janjaweed, Mazombie na hatimae Jecha. Unataka nini kitokee kingine kikufurahishe? Alioumwa na nyoka akiona ukoka hushituka! Damu ya wazanzibari ni lulu(most Precious),ni zaidi ya Jecha,ni zaidi ya CCM.

Sijui Pasco mungu gani aniemuabudu, mungu ambaye yuko, flexible,anaye yumbishika,mtia ulimi puani mwake.Tofauti na Mungu wangu mimi ana msimamo, batili huendelea kuwa batili, haramu huwa haramu hata ukitekelezwa na Alhaj kama Jecha na wala haihitaji sala, vurugu, maandamano,kubatilishwa au kuharamishwa mara ya pili.

Wakati wakereketwa na watawala wakisheherekea tukio hilo, Alhaj Jecha anazidi kuwa mpweke,mashakani kwa kusumbuliwa, kusutwa na nafsi yake mwenyewe.Kapotezewa uhuru wake , furaha, kuchanganyika na waumuni wenzake na aliowazoea, kutembea au kutembelewa. Kwa ufupi amekuwa kama sawa na kigoriwa kizamani wa kitumbatu ambae hatoki ndani zaidi ya kuchungulia dirishani akiomba kutokea mchumba wa kuja kumposa!
 
Angefanya nini unafikiri?
Angeweza kukinukisha lakini akaamua kulinda amani , hivi unadhani ni wazanzibar wangapi wanaitaka ccm , ni wachache tu , fuatilia uchaguzi wa marudio , vifaru na boti za KMKM zilizidi idadi ya waliojitokeza kupiga kura .
 
Jamani ivi tumeshindwa kufunga na kumlilia Mungu wetu wa majeshi ili amuadabishe na kumdhalilisha uyu Jecha, naamini Jecha akisikia watu wanaswali Itikhafu mfululizo wiki na hata mwezi atajitokeza na kuwaomba msamaa watu wa Zanzibar
 
Pasco ulipozaliwa umeoshwa kwa jimbo gani? Una Ubishi wa Kizanaki hasa!Ikiwa watu milioni 50 wanawadhibiti watu milioni moja(Ratio 50:1)hapo kuna ubakaji au mauaji. UsizungumzIe jambo la kufikirika,hubiri jambo la kuepukika. Jiulize chama gani kinacho historia ya fujo na mauaji Zanzibar? Kuanzia mauaji ya 1964, kuja kwa mauaji ya 2001, kuja kwa fujo za Janjaweed, Mazombie na hatimae Jecha. Unataka nini kitokee kingine kikufurahishe? Alioumwa na nyoka akiona ukoka hushituka! Damu ya wazanzibari ni lulu(most Precious),ni zaidi ya Jecha,ni zaidi ya CCM.

Sijui Pasco mungu gani aniemuabudu, mungu ambaye yuko, flexible,anaye yumbishika,mtia ulimi puani mwake.Tofauti na Mungu wangu mimi ana msimamo, batili huendelea kuwa batili, haramu huwa haramu hata ukitekelezwa na Alhaj kama Jecha na wala haihitaji sala, vurugu, maandamano,kubatilishwa au kuharamishwa mara ya pili.

Wakati wakereketwa na watawala wakisheherekea tukio hilo, Alhaj Jecha anazidi kuwa mpweke,mashakani kwa kusumbuliwa, kusutwa na nafsi yake mwenyewe.Kapotezewa uhuru wake , furaha, kuchanganyika na waumuni wenzake na aliowazoea, kutembea au kutembelewa. Kwa ufupi amekuwa kama sawa na kigoriwa kizamani wa kitumbatu ambae hatoki ndani zaidi ya kuchungulia dirishani akiomba kutokea mchumba wa kuja kumposa!
Chuki ya pasco kwa wazanzibar inachagizwa na pesa , si bure , anaiheshimu ccm kuliko Mungu , sjawahi kuona !
 
Angeweza kukinukisha lakini akaamua kulinda amani , hivi unadhani ni wazanzibar wangapi wanaitaka ccm , ni wachache tu , fuatilia uchaguzi wa marudio , vifaru na boti za KMKM zilizidi idadi ya waliojitokeza kupiga kura .
Kwa mujibu wa Tume ya uchaguzi CCM ndo iliongoza na kushinda uchaguzi. Wewe ni nani hadi upinge ukweli huu? au unasikia fununu tu? Maalim asingeweza kukinukisha, hana jeshi. Sanasana angechochea watu wafanye fujo, nao wangeambulia kipigo tu.
 
Yaliyotokea Zbar baada ya Uchaguzi wa Oktoba 25, 2015 ni makubwa na udhalimu uliofanywa Dunia nzima iliuona.
Sononeko la walioporwa ushindi wao halali halitapita bure hivi-hivi. Malipo ni hapa hapa Duniani.
 
Amina .
 
Octoba 28 , 2015 aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi ya Zanzibar , Jecha Salim Jecha , ambaye pia imethibitika kwamba ni mwanachama wa ccm ( maana aliwahi kugombea ubunge kupitia chama hicho na kuangukia pua kwenye kura za maoni ) , alitangaza kufuta uchaguzi uliofanyika octoba 25 mwaka huohuo , na ambao waangalizi wa nje na ndani , wakiwemo pia wagombea wote walidai ulikuwa huru na haki.

Mungu ibariki Zanzibar , Mungu ibariki Cuf , Mungu mbariki Maalim Seif.
Ndo uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo,
 
Back
Top Bottom