Dhuluma kwenye udalali huleta laana

Dhuluma kwenye udalali huleta laana

Mshana jr, asante sana kaka kwa elimu hii. Nakwambia kuna jamaa mmoja alimkopesha jirani yake shs laki 7 akataka apewe hati ya nyumba kama dhamana, kwa vile mkopaji alikua na shida kuubwa maana mkewe alikua mahututi anahitaji pesa amsafirishe akatibiwe Muhimbili, akakubali, wakaandikishana ila akamuwekea riba asilimia 50% ya mkopo, baba wa watu akasaini huyo akamkimbiza mkewe Dar, muda wa kurejesha jamaa bado yupo Dar anauguza, akajulishwa kuwa nyumba yake itakua si yake tena kwa muda wa wiki moja maana makubaliano yamekiukwa. Baba akaomba aongezewe muda atalipa pesa zote na kwamba hali ya mkewe bado si nzuri na hawezi muacha, weeee jamaa akaweka ma broker, wacha wamtishe yule baba, masikini hadi akapata stroke nae akalazwa nyumba mwenye hela zake kajibebea. Hii ilinihuzunisha saana, ila walitokea wasamalia wema wakaingilia kati sakata hili, jamaa akalipwa pesa zake nyumba ikabaki. Lakin nahisi laana lazima impate mkopeshaji kwa vikwazo alivyomuwekea mwenzie.

Inasikitisha sana ....
 
Baada ya udalali,kazi nyingine ya laana ni hii ya upolisi.Tazama wanavyo kimbizana kukamata pikipiki na bajaji pale tazara na veta na fire,n.k.Na kupokea pesa za dhuluma ili kuwaruhusu waondoke na vyombo vyao.
 
Nazani hii ina laana zaidi ya Udalali
 
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Baada ya udalali,kazi nyingine ya laana ni hii ya upolisi.Tazama wanavyo kimbizana kukamata pikipiki na bajaji pale tazara na veta na fire,n.k.Na kupokea pesa za dhuluma ili kuwaruhusu waondoke na vyombo vyao.
Tena afadhali dalali kuliko hawa wadudu[emoji115] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Mshana jr, asante sana kaka kwa elimu hii. Nakwambia kuna jamaa mmoja alimkopesha jirani yake shs laki 7 akataka apewe hati ya nyumba kama dhamana, kwa vile mkopaji alikua na shida kuubwa maana mkewe alikua mahututi anahitaji pesa amsafirishe akatibiwe Muhimbili, akakubali, wakaandikishana ila akamuwekea riba asilimia 50% ya mkopo, baba wa watu akasaini huyo akamkimbiza mkewe Dar, muda wa kurejesha jamaa bado yupo Dar anauguza, akajulishwa kuwa nyumba yake itakua si yake tena kwa muda wa wiki moja maana makubaliano yamekiukwa. Baba akaomba aongezewe muda atalipa pesa zote na kwamba hali ya mkewe bado si nzuri na hawezi muacha, weeee jamaa akaweka ma broker, wacha wamtishe yule baba, masikini hadi akapata stroke nae akalazwa nyumba mwenye hela zake kajibebea. Hii ilinihuzunisha saana, ila walitokea wasamalia wema wakaingilia kati sakata hili, jamaa akalipwa pesa zake nyumba ikabaki. Lakin nahisi laana lazima impate mkopeshaji kwa vikwazo alivyomuwekea mwenzie.
Mmh ndio maana neno linasema ni rahisi zaidi kwa ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko tajiri kuurithi ufalme wa Mbinguni
 
Nimewahi kutembelea kijiji kimoja kiko very interior huko. Nikakuta jamaa mmoja ambayr ndo 'tajiri' hapi kijiji huwa anakopesha watu shilingi kwa shilingi, thats means akikukopesha laki moja unalipa laki mbili. Na anawapata wengi sanaaa as u can imagine kijijini mfani msimu wa kilimo umefika, mtu hana mbegu sijui, mara mke kaumwa hana hela ya kumkimbiza hospitali etc and etc. Yule jamaa watu kijiji kizima wanamnung'unikia sana kwa hyo system yake. Je huyu naye ana package yake ya laana ndg Mshana?
 
Yeah tena kubwa sana hiyo riba yake hailipiki imagine kawaumiza wangapi hapo

Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
 
Bashite ana laan ya kununua cheti, hata huo ni udalali, alidalalia elimu!
 
Tena afadhali dalali kuliko hawa wadudu[emoji115] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kweli askari wengi wana fursa za kuingiza hela kila siku kupitia rushwa rushwa...ila wengi wao ninao waona kijijin kwetu waliostafu na kurejea hakuna mwenye ahueni...mmoja namjua ni mlevi alifanikiwa kutumia peshen yake kujenga nyumba ikafikia kwenye renta, anaelewa masaa 24, wa pili alinunua magari ya uzeeni kumbe jashikisgwa yalokuwa yamepak gereji miaka 10 akafa na stress, wengine waliobak nawajua wengi ni km unataman vile wanavyopta hela ila hazionekan matokeo yake! Tujifunze kupata hela kihalali na pia tujifunze kusaidia wahitaji sio kuwakandamiza sabab ya shida zao.
 
Daima pesa ya dhuluma haina Baraka

Back
Top Bottom