Dhuluma kwenye udalali huleta laana

Dhuluma kwenye udalali huleta laana

Mi kuna dalali alinitapeli pesa yangu ya nyumba kipindi naanza maisha Kinondoni laki 2 kila siku nasema yule baba Mungu atadeal nae.
Jaribu kufuatilia sasa hivi uone.. Yuko wapi katunzi? Yuko wapi Heri? Yuko wapi Msofe?
 
Bank ana mikataba na anajivua kesi na kumkabidhi dalali ni sawa na mganga wa kienyeji kumuelekeza cha kufanya mteja wake mwisho wa siku jema ama baya humtokea mteja mwenyewe
Lakini pia na darari anamkataba na bank na amekata reseni kwa ajili ya kazi iyo na analipa kodi na iku.bukwe kila bei anayouza ni lazma banki ikubaliane nayo na ispoafiki bas darali uambiwa afunge mnada .Apo imekaaje Mshana.
 
Mshana elimu unayotoa toa Allah atakulipa kuna cku ntakutafuta bro tuzungumze nna mambo kibao
 
Kwangu mimi police na mahakimu ndowanaongoza unakuta maskini kaonewa ana ushaidi wa kutosha mahakamani lakini kwa sababu ya pesa hakimu anaipoteza haki yake na kumpa tajili sababu ya rushwa.
 
Lakini pia na darari anamkataba na bank na amekata reseni kwa ajili ya kazi iyo na analipa kodi na iku.bukwe kila bei anayouza ni lazma banki ikubaliane nayo na ispoafiki bas darali uambiwa afunge mnada .Apo imekaaje Mshana.
Huwa wanatenda kwa dhuluma kwa ajili ya kupata faida ya ziada.. Tatizo huanzia hapo
 
Dah ,,kuna nyumba iliuzwa jiran yangu tangu alipoinunua yule baba hajarud tena huu n mwaka wa 3 na wapangaji waliambiwa wahame ndani ya 7days ....baba mwenyew nyumba alitoroka mana alichukua hat bila mke kujua na mke wakat nyumba inapigwa mnada yeye alikuwa kazin hajui kitu,,, mpka leo mnunuz hajatokea na kimyaaaaaa tuseme kasahau kama kuna nyumba 2 in one kiwanja cha heka ndani kwa mil 250 tu tena ubungo external
 
Dah nikajua ni nyumba moja mabibo kila mnunuzi anayefika bei na kutoa 25% harudi
 
Back
Top Bottom