Dhuluma iliyofanywa na kampuni ya Tigo kwa freelancer

NESARA1952

New Member
Jun 5, 2023
4
14
Wakuu habari,

Niende moja kwa moja kwenye mada.

Kampuni ya Tigo Tanzania imedhulumu haki za Freelancer wake wote kwa kutokuwalipa stahiki zao za mwezi wa nane bila sababu za msingi.

Tunaomba ushirikiano wenu kulijadili hili na kulipeleka mamlaka husika. Vijana wamedhulumiwa pesa nyingi sana. Na viongozi wa kampuni hii wanaojulikana kama Team Leader na TM hawana msaada wowote katika kutetea haki za vijana wao wanasamini matumbo yao tuuu.

Vijana wanaumia sana kwa kudhulumiwa pesa zao. Ushahidi upo wa kutosha. Malipo hayo ya stahiki za Freelancer yalipaswa yalipwe tar kati ya tar 25/08/2023 hadi tar 28/08/2028 lakini hadi sasa hakuna malipo mazuri na kampuni imekuja na madai ya hovyo kabisa.

Tunaomba haki itendeke.
 
Wamejibadili jina na kuhama mtaa toka Makumbusho kwenda Mwenge kama sijakoseaMawasiliano
 
Inaumiza mno vijana wanajitahidi kujiajiri kupambana na umaskini watu wasiojali hustling za vijana Wanajali matumbo Yao tu wanavunja mioyo wa vijana.inauma mno tigo wametukosea sana
 
Kiongozi nilipo ckia kua Rostam Aziz kanunua tigo hili sishangai. Naona ameanza kujilipa baada ya kuzamini Royal tua y kizimkazi kwa kudhulumu haki kwa watanganyika. Changamoto hii watajifanya hawajui n kuickia.
 
Back
Top Bottom